JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Matokeo ya darasa la saba yatangazwa, vituo 24 vyafungiwa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya darasa la saba ya mwaka huu ambapo watahiniwa milioni 1.07 wamefaulu kwa kupata madaraja A na B na C. Akitangaza matokeo hayo leo Desemba 1, 2022 Kaimu Katibu Mtendaji…

Tuache siasa, bandari yetu ni dhahabu

Na Deodatus Balile,JamhuriMedia,Dubai Wiki iliyopita nimepata fursa ya kusafiri kwenda Dubai. Nimetembelea maeneo kadhaa, ila moja ya maeneo hayo ni bandari tatu zinazoendeshwa na Kampuni ya DP World. Kampuni hii inamilikiwa na familia ya mfalme anayetawala Dubai. Kwa Dubai, kampuni…

Rais Samia awapa maagizo Vyuo vikuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa Vyuo Vikuu kupitia mitaala yake ili ijikite katika kutoa elimu ambayo inakidhi mahitaji ya jamii. Rais Samia ametoa wito huo leo mara baada ya kutunukiwa Shahada…

Idadi ya wagonjwa yaongezeka Mlongazila

Idadi ya wagonjwa wanaofika kupata huduma ya matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imeongezeka kutoka 10854 kufikia 11188 kwa wagonjwa wa nje wakati wagonjwa wanaolazwa 793 hadi 1052 katika kipindi cha miezi miwili kuanzia Septemba hadi Novemba mwaka huu….

Rais Samia atunukiwa udaktari wa heshima UDSM

Na Wilson Malima Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya juu heshima ya udaktari katika fasihi ‘Doctor of Letters. Honoris Causa ‘ ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika mahafali ya 52 duru…

Hakimu adaiwa kujiua gesti

Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa linafanya uchunguzi kufuatia Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kasanga Michael Royan(31), kudaiwa kujiua kwa kunywa sumu katika nyumba ya kulala wageni.katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani humo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Theopista Mallya…