Category: Habari Mpya
Zanzibar yaungana na dunia kuadhimisha kilele cha Wiki ya Maabara Duniani
Mkururugenzi mkaazi wa shirika la IPAC Nchini Tanzania Haruka Maryuma akitoa salamu za wadau wa maendeleo katika kilele cha wiki ya maabara Duniani huko Golden Tulip Uwanja wa ndege Zanzibar. Mkurugenzi wa kituo cha ulinzi wa afya wa kimataifa katika…
Tanzania yaishauri Benki ya Dunia kuweka vipaumbele katika miradi ya maendeleo ya Afrika
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (katikati) na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil (kulia), wakifuatilia Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Kundi la Kwanza la Nchi za…
Waziri Jafo asisitiza upandaji miti taasisi za elimu
na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo amezitaka taasisi za elimu nchini kuongeza kasi ya upandaji miti kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Dkt. Jafo ametoa wito…
Msajili wa Hazina azungumza na Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Perseus
Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu, Aprili 20, 2024 amefanya mazungumzo na ujumbe kutoka Kampuni ya uchimbaji Madini ya Perseus ya nchini Australia iliyowakilishwa na Afisa Mtendaji Mkuu, Jeff Quartermaine pamoja na Afisa Fedha Mkuu wa kampuni…
DC Kinondoni aitaka OSHA kuvichukulia hatua viwanda visivyofuata sheria za usalama
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule ametoa wito kwa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kuwafuatilia wamiliki wa viwanda wasiofuata sheria ya usalama wa kazi ili waweze kuchukuliwa hatua…
Waziri Makamba ataja maeneo ya kuboresha, Wizara ya Mambo ya Nje
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kibaha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba ametumia takribani saa moja kuelezea maeneo ambayo yatajajadiliwa katika warsha ya Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani inayofanyika katika Chuo cha Uongozi…





