JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Madaktari Sekoutoure wafanikisha kutoa jiwe la gramu 800 kwenye kibofu

Na Mwandishi Maalum, JamhuriMedia, Mwanza Madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure wamefanikiwa kufanya upasuaji na kuondoa Jiwe ndani ya kibofu cha mkojo kwa mwanamke mwenye umri wa miaka 48. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa hospitalini hapo…

Waziri Jafo atoa maelekezo kwa maofisa halmashauri, NEMC kusimamia sheria

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewaelekeza maafisa mazingira katika halmashauri zote kusimamia utekelezaji wa sheria ya mazingira katika maeneo yao. Ametoa maelekezo hayo wakati wa kikao…

Askari Polisi watakiwa kujiweka imara kuukabili uhalifu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Askari kutoka Ukanda wa Mashariki Mwa Afrika wametakiwa kujiweka imara katika kukabiliana na uhalifu unaovuka mipaka, ugaidi, usafirishaji haramu wa binadamu pamoja na usafirishaji wa dawa za kulevya. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo…

Miaka miwili ya filamu ya Royal Tour, mabalozi wampa tano Rais Samia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ngorongoro Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Ujerumani, Ufaransa na Ubelgiji wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi za kutangaza utalii wa Tanzania zilizopelekea kuendelea kuongeza idadi ya…

Miaka 60 ya Muungano, Tanzania yang’ara uongozi wa Taasisi za Kikanda na Kimataifa

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Katika kipindi cha utekelezaji wa miaka 60 ya Muungano, Tanzania imefanikiwa kutoa viongozi mahiri kuongoza taasisi za kikanda na kimataifa ikiwa ni ishara ya kuaminiwa na mataifa mengine. Baadhi ya nafasi ambazo Tanzania imeongoza ni uteuzi wa…

Dk Biteko: Bwawa la Umeme la Julius Nyerere liko salama

📌 Asema limepunguza athari za mafuriko 📌 Atoa pole kwa waathirika wa mafuriko Rufiji 📌 Aeleza jitihada za Serikali kwa waathirika 📌 Azungumzia umuhimu wa Nishati Safi ya Kupikia, Bei ya Gesi. Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu…