JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Nchi za SADC zampongeza Rais Samia kwa maono yake katika usimamizi wa misitu ya miombo

Nchi wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Southern African Development Community-SADC) zimempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maono yake katika usimamizi na uhifadhi wa misitu miombo hasa katika kuhama…

CBE yaahidi kuendelea kuisaidia shule ya Jangwani

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimetoa msaada mbalimbali na viti mwendo kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum wa shule ya sekondari ya Jangwani jijini Dar es Salaam. Msaada huo ulikabidhiwa jana shuleni hapo na Mkurugenzi wa Taaluma wa CBE, Dk….

Mgodi wa Magambazi kuzalisha kilo 25 za dhahabu kwa mwezi ifikapo Agosti 2024

Unamilikiwa na Watanzania kwa asilimia 100 Utafiti umebaini uwepo wa mashapo ya dhahabu kiasi cha tani 21.7 Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Tanga Kampuni ya PMM Tanzania Limited inayomiliki mgodi wa Magambazi imeanza shughuli za uzalishaji madini ya dhahabu ambapo kuanzia…

Benki ya Akiba yazindua rasmi huduma ya kadi za visa

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Benki ya Akiba (ACB) imezindua rasmi huduma ya kadi za VISA ambazo ni mahususi kwa kufanya huduma za miamala ya kifedha ambapo inauwezo wa kutumika sehemu yoyote Duniani. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo…