JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

TAWA yatoa misaada ya vyakula na boti Rufiji

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama Pori Tanzania (TAWA), imetoa misaada mbalimbali ikiwemo unga tani 6.4, maharage kilo 666, magodoro 186 vyenye thamani ya 20mil kwa ajili ya waathirika wa mafuriko wilayani Rufiji. Aidha imetoa imetoa…

Sekta ya mifugo,uvuvi yajinasibu kuimarisha miundombinu yake

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 51.66 kwa ajili ya kuimarisha miundombinu mbalimbali katika Sekta ya Mifugo kwa ujenzi wa miundombinu ya minada ya mifugo ya kisasa 51 shilingi bilioni 17.5 , ujenzi wa Majosho 746 kwa…

Majaliwa akagua athari za mafuriko Mlimba Morogoro

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 16, 2024 amewasili Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro ambapo atakagua athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na Malinyi. Pia Mheshimiwa…

Dk Mpango ataka jamii kuwekeza kwenye uanzishaji bustani za kijani

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpangoametoa wito kwa sekta binafsi, mashirika, Taasisi za umma pamoja na Taasisi za dini kuwekeza katika uanzishaji na uendelezaji wa Bustani za Kijani nchini…

TEMESA inalipa milioni tano Azam Marine kila siku

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amependekeza TEMESA itathmini mikakati mbadala ya kupunguza utegemezi wa vivuko vya mwendokasi kwa kuwa kuendelea kukodisha vivuko hivyo kutoka Kampuni ya Azam Marine kunaathiri…