JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Nchimbi awasili Katavi kwa ziara ya kikazi

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dk, Emmanuel John Nchimbi na ujumbe wake amewasili asubuhi hii mkoani Katavi kuanza ziara ya mikoa sita nchini. Katika ziara hii anaongozana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo,…

‘ Mfumo wa maji Monduli ni wa miaka 1970’

Na Ahmed Sagaff – MAELEZO Mfumo wa maji uliopo katika vijiji vya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha ni wa miaka ya 1970 wakati vijiji hivyo vikiwa na watu wachache hivyo upatikanaji wa maji haukidhi mahitaji. Mwakilishi wa Familia ya aliyekuwa…

Makamba : Ndani ya CCM kuna fitina

Na Raisa Said,JamhuriMedia, Bumbuli Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mbunge wa Bumbuli January Makamba amesema kwenye Chama Cha Mapinduzi CCM kumekuwa na mambo ya kufitiniana hasa pale rais aliyepo madarakani anapotakiwa kuendelea na muhula…

Waziri Mkuu akiwa Monduli

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary Majaliwa wakisalimiana na wajane wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine, Nekiteto Sokoine (wa pili kushoto) na Napono Sokoine (wa tatu kushoto) walipowasili Monduli Juu kushirikiki Ibada ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya…

Serikali kuanza utekelezaji mradi wa bonde la Msimbazi

Na Georgina Misama, Maelezo Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Mijini na Vijijini Tanzania (TARURA), inatarajia kuanza utekelezaji wa Mradi wa Bonde la Msimbazi jijini Dar es Salaam, kuanzia Jumatatu, tarehe 15 Aprili, 2024, kwa kubomoa nyumba katika eneo la…