Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary Majaliwa wakisalimiana na wajane wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine, Nekiteto Sokoine (wa pili kushoto) na Napono Sokoine (wa tatu kushoto) walipowasili Monduli Juu kushirikiki Ibada ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya Kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine, Aprili 12, 2024. Kushoto ni mtoto wa Hayati Sokoine, Namerok Sokoine.

By Jamhuri