Category: Kimataifa
Israel yafanya mashambulizi ya anga katika bandari Yemen
Israel imesema kwamba imefanya mashambulizi ya anga kwenye mji wa bandari wa Hodeida wa Yemen na maeneo mengine yanayoshikiliwa na waasi wa Huthi. Israel imesema kwamba imefanya mashambulizi ya anga kwenye mji wa bandari wa Hodeida wa Yemen na maeneo…
Hamas yakaribisha mazungumzo ya kusitisha vita
Shirika la ulinzi wa raia la Gaza limetangaza kuwa operesheni za kijeshi za Israel zimesababisha vifo vya watu 32 katika Ukanda wa Gaza. Kwa mujibu wa msemaji wa shirika hilo jana, Mahmud Bassal, watu wanane wameuawa kwenye mashambulizi mawili yaliyolenga…
Rais Ruto kujenga kanisa kubwa Ikulu
Rais wa Kenya William Ruto amesema anajenga kanisa katika Ikulu jijini Nairobi ambalo atagharamia mwenyewe – na kuongeza kuwa hana sababu yoyote ya kuomba msamaha. “Sitamwomba mtu yeyote msamaha kwa kujenga kanisa. Shetani anaweza kuwa na hasira na anaweza kufanya…
Trump :Ukraine itahitaji makombora ya Patriot kujilinda
Rais wa Marekani Donald Trump alisema Ukraine itahitaji makombora ya Patriot kwa ajili ya ulinzi wake, baada ya kuzungumza na Rais Volodymyr Zelensky siku ya Ijumaa, na kueleza kukatishwa tamaa na Rais wa Urusi Vladimir Putin kushindwa kusitisha mapigano. Trump…
Trump kukutana na viongozi wa mataifa matano ya Afrika
Rais Donald Trump wa Marekani atakutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika mjini Washington wiki ijayo, kujadiliana ‘fursa za kibiashara’ kwa mujibu wa Ikulu ya White House. Trump atakutana na viongozi wa Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa…
Joto kali Ulaya laua, shule zafungwa
WIMBI la joto kali limeikumba sehemu kubwa ya bara la Ulaya, likisababisha shule nyingi kufungwa na vifo vya watu kuripotiwa katika nchi za Uhispania, Ufaransa na Ureno. Katika baadhi ya maeneo ya Uhispania na Ureno, viwango vya joto vimeripotiwa kuvuka…