Category: Kimataifa
Daktari jela miaka 15 kumdhalilisha mgonjwa
Mahakama Kuu ya Anuradhapura, Sri Lanka, imemkuta na hatia daktari mwenye umri wa miaka 70 kwa kosa la kumdhalilisha kijinsia mwanamke mwenye umri wa miaka 25. Tukio hilo lilitokea baada ya mama huyo kufika katika kituo cha afya kwa ajili…
Takriban watu 55 wauawa na vikosi vya Israel huko Gaza
TAKRIBAN watu 55 wakiwemo watoto wameuawa usiku wa kuamkia Jumanne na vikosi vya Israel katika Ukanda wa Gaza. Miongoni mwa waliouawa walikuwemo watu 15 waliokuwa wakisubiri msaada wa kibinaadamu katika kivuko cha Zikim kaskazini mwa Gaza. Wizara ya Afya ya…
Mawaziri wa Umoja wa Ulaya waiunga mkono Ukraine
Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wamefanya mkutano kwa njia ya video na kutangaza kuiunga mkono Ukraine kabla ya mkutano kati ya rais wa Marekani Donald Trump na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin huko Alaska. Kauli mbiu…
Trump : Wasio na makazi waondoke mara moja Washington DC
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa watu wasio na makaazi lazima “waondoke” Washington DC huku akiapa kukabiliana na uhalifu katika mji huo. Trump alitia saini amri mwezi uliopita ili kurahisisha kuwakamata watu wasio na makazi, na wiki iliyopita aliamuru…
Watu 63 wafariki kwa utapiamlo Sudan
Utapiamlo umesababisha vifo vya watu 63 katika muda wa wiki moja pekee, wengi wao wakiwa wanawake na watoto katika mji uliozingirwa wa El-Fasher nchini Sudan ambako hali ya kibinaadamu inazidi kuwa mbaya. Taarifa hiyo imetolewa Jumapili (11.08.2025) na Afisa mmoja…
Trump, Putin kukutana Ijumaa huko Alaska
Rais wa Marekani Donald Trump atakutana na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin Ijumaa ya Agosti 15 huko Alaska na kujadili namna ya kuvimaliza vita nchini Ukraine. Trump ametoa tangazo hilo lililothibitishwa na ikulu ya Kremlin baada ya kusema kuwa wadau…





