JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Waziri Makamba awasili nchini China kwa ziara ya kikazi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki January Makamba amewasili nchini China kuanza ziara ya kikazi. Ziara hii mbali na kudumisha ushirikiano wa kidiplomasia wa kihistoria uliopo baina ya mataifa haya mawili ni muendelezo wa utekelezaji wa…

Rais Brazil aliomba bunge kutangaza janga la mafuriko, watu 85 wapoteza maisha

Rais wa Brazil Inacio Lula da Silva ameliomba Bunge la nchi hiyo kutangaza uwepo wa janga kwenye jimbo la kusini la Rio Grande do Sul baada ya watu 85 kupoteza maisha kutokana na mafuriko makubwa yanalolikumba eneo hilo. Hatua hiyo…

Urusi kufanya mazoezi ya nyuklia kufuatia ‘vitisho’ vya nchi za Magharibi

Urusi imeanza maandalizi ya mazoezi ya makombora karibu na Ukraine yakiiga matumizi ya silaha za kimkakati za nyuklia ili kukabiliana na “vitisho” vya maafisa wa nchi za Magharibi. Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov alisema kauli za hivi majuzi za Rais…

Zaidi ya watu 140 wafariki kwa radi, dhoruba Pakistan

Zaidi ya watu 140 wamefariki dunia nchini Pakistan baada ya kupigwa na radi na matukio mengine yanayohusishwa na dhoruba katika mwezi huu wa Aprili, huku taifa hilo likishuhudia mvua kubwa kabisa. Pakistan imekumbwa na mafuriko makubwa, maporomoko ya ardhi na…

Tanzania na Urusi kushirikiana kudhibiti uhalifu wa kimtandao

Serikali imedhamiria kushirikiana na nchi ya Urusi katika kudhibiti uhalifu nchini ikiwemo uhalifu wa mtandao ambao umeanza kushamiri katika maeneo mbalimbali nchini huku ikiweka wazi dhamira ya kujengewa uwezo kwa askari wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa kushirikiana na…