Category: Kimataifa
Ruto alaani kuuwawa mwanablogu mikononi mwa polisi Kenya
Rais wa Kenya William Ruto Jumatano amelaani mauaji ya mwanablogu mmoja nchini humo yaliyotokea katika seli ya Polisi alimokuwa akishikiliwa, tukio lililozusha hasira miongoni mwa Wakenya. Awali polisi ya Kenya ilikuwa imesema kuwa Albert Ojwang, aliyekamatwa kwa chapisho aliloliweka kwenye…
Trump apeleka wanajeshi zaidi Los Angeles
WAANDAMANAJI wanaopinga kukamatwa kwa wahamiaji wamekusanyika Los Angeles kwa siku ya nne mfululizo. Polisi imesema waandamanaji wanaweka vizuiwizi kwenye barabara kadhaa, na ikatangaza kuzifunga baadhi ya barabara. Hii inajiri baada ya serikali ya Rais Donald Trump kuamuru kupelekwa kwa karibu…
Marufuku ya kusafiri ya Trump ya nchi 12 kuanza kutekelezwa
Marufuku mpya ya kusafiri ya Rais Donald Trump ambayo inazuia raia wa nchi 12 kuingia Marekani ilianza kutekelezwa saa 00:00 ET (05:00 BST) Jumatatu. Agizo hilo ambalo Trump alitia saini wiki iliyopita, linawazuia raia wa Afghanistan, Myanmar, Chad, Congo-Brazzaville, Equatorial…
Iran: Tutatoa pendekezo jipya la nyuklia kwa Marekani
Iran kupitia msemaji wa wizara ya mambo ya nje Esmaeil Baqaei, imesema hivi karibuni itawasilisha pendekezo la kupinga makubaliano ya nyuklia na Marekani, baada ya kusema kuwa pendekezo hilo lina utata. “Hivi karibuni tutawasilisha pendekezo letu kwa upande mwingine ambao…
Kim Jong Un aapa kuendelea kuisaidia Urusi ‘bila masharti’
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameapa kuendelea kuiunga mkono Urusi katika maeneo yote ikiwa ni pamoja na katika vita vyake nchini Ukraine. Vyombo vya habari vya Serikali ya Pyongyang vimesema mapema leo kwamba Kim Jong Un alipokutana na…
Rais Trump azuia raia kutoka mataifa 12 kuingia Marekani
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini tangazo la kupiga marufuku raia wa mataifa 12 kuingia nchini humo. Katika awamu yake ya kwanza Trump aliwazuia watu kutoka mataifa saba yenye Waislamu wengi kuingia Marekani. Vyombo vya habari va nchini Marekani…