JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Umoja wa Afrika Yamtaka Trump Kuomba Radhi kwa Matamshi Yake

Umoja wa Afrika unasema matamshi ya yanayodaiwa kutolewa na rais wa Marekani Donald Trump kuhusu bara la Afrika ni wazi kwamba ni ya ubaguzi wa rangi. Msemaji wa umoja huo , Ebba Kalondo, amesema toni la matamshi hayo lilikera hata…

Nchi 6 Zinazoongoza Kuwa na Majengo Marefu Duninia

1. Falme za Kiarabu Nafasi ya kwanza inashika na falme za kiarabu ambapo kuna jengo lefu kuliko yote duniani ambalo lipo kwenye jiji Dubai na Linaitwa Burj Khalifa. 2. China Nafasi ya pili inashika na China ambapo kuna jengo lefu…

SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU MELI YENYE BENDERA YA TANZANIA KUKAMATWA UGIRIKI

Serikali imesema inachunguza taarifa za meli yenye bendera ya Tanzania iliyokamatwa nchini ugiriki ikiwa na vifaa vya kutengenezea vilipuzi ambavyo vilikuwa vikisafirishwa kwenda Libya. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Susan kolimba alisema kuwa wanafuatilia…

JAMAA ATUMIA SURURU KUJENGA BARABARA YA KILOMITA 8

Jamaa mmoja katika jimbo lililo mashariki mwa India, amejenga barabara ya umbali wa kilomita 8 akitumia sururu ili kuwawezesha watoto wake kupitia wakitoka shuleni. Jalandhar Nayak, 45, anaishi umbali wa kilomita 10 kutoka shule ambapo watoto wake watatu wa kiume…

RIPOTI YA EU YAWAKERA WAKENYA

Serikali ya Kenya imekasirishwa na ripoti iliotolewa na kiongozi wa Muungano wa Ulaya kuhusu uchaguzi mkuu wa urais mwaka uliopita. Marietje Schaake alitoa ripoti mapema siku ya Jumatano katika mji mkuu wa Ubelgiji , Brussels baada ya kusema kuwa serikali…

Mamia ya Wahamiaji Wahofiwa Kuzama Libya

Mamia ya watu wanahofiwa kupotea baada ya boti iliyobeba wahamiaji kuzama pwani ya Libya. Walinzi wa majini wa Libya wanasema kuwa watu mia tatu wameokolewa kutoka boti nyingine tatu zilizopata dhoruba. Walioopona katika ajali hiyo ya majini wanasema kuwa walitumia…