Category: MCHANGANYIKO
MAONI YA KATIBA MPYA YA TANZANIA
Chadema: Tunataka Serikali tatu – 3
Wiki iliyopita tulikuletea sehemu ya pili ya maoni ya Chadema waliyowasilisha kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Leo tunakuletea sehemu ya tatu ya na ya mwisho ya maoni yao. Endelea…
RATIBA YA AFCON 2013
Jumanne 22 Januari 2013:
Ivory Coast vs Togo 11:00 jioni
Tunisia vs Algeria 2:00 usiku
Balotelli wa Man City huyooo AC Milan
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Manchester City, Mario Balotelli (22), yupo mbioni kuhamia AC Milan.
Kivumbi tena Ligi Kuu Bara
Baada ya kusimama kwa zaidi ya miezi miwili sasa, kindumbwendumbwe cha Ligi Kuu Tanzania Bara, kinarejea tena Jumamosi wiki hii, huku timu za Yanga na Simba zilizokuwa mazoezini nje ya nchi, zikimulikwa zaidi.
Yah: Jamani napenda kuwa rais wa nchi yangu (2)
Mzee Ben akapewa rungu la kutetea uhai wa chama katika uchaguzi huo na akaibuka kidedea, lakini nguvu ya soko la dunia katika bidhaa ikaanza kupungua kutokana na mizizi yake kukomaa ikawa siyo habari tena ya kuwaelekeza Watanzania ambao awali walijifanya wanalipokea kwa shingo upande, wakoloni waliona mianya ya kutawala vitaifa vidogo kwa kisingizio cha uwekezaji.
ANGA ZA UCHUMI NA BIASHARA
Ujasiriamali unahitaji ‘roho ya paka’
Ninafahamu linapokuja suala la matumizi ya Kiswahili katika mambo ya biashara na ujasiriamali, akili zetu zinapwaya. Sio kwa sababu Kiswahili hakina maneno yote ya kibiashara, la hasha! Ni kwa sababu hatujazoea biashara, misamiati haijatukaa sana kama ilivyotukaa ya kisiasa. Moja ya neno nililokopa kama lilivyo ni ‘Risks’; na ndio dhana nitakayoijadili leo.
- Mbio za Urais 2025, vyama 17 vyapeta, ACT Wazalendo nje
- Dk Biteko azindua teknolojia ya kuondoa uvimbe mwilini bila upasuaji
- Mndolwa awataka watumishi wapya NIRC kuzingatia uadilifu katika utumishi
- REA yaendelea kuwaunganishia umeme wananchi Manyara
- Rais Dkt. Samia azungumza na Wazee, Ikulu Chamwino, Dodoma
Habari mpya
- Mbio za Urais 2025, vyama 17 vyapeta, ACT Wazalendo nje
- Dk Biteko azindua teknolojia ya kuondoa uvimbe mwilini bila upasuaji
- Mndolwa awataka watumishi wapya NIRC kuzingatia uadilifu katika utumishi
- REA yaendelea kuwaunganishia umeme wananchi Manyara
- Rais Dkt. Samia azungumza na Wazee, Ikulu Chamwino, Dodoma
- Rais Dkt. Samia azungumza na Wazee, Ikulu Dodoma
- Jela maisha kwa kumkaba mwanafunzi wa darasa la tano
- Rais Mwinyi : Zanzibar imepiga hatua kubwa kulinda haki za wanawake
- Samia arejesha fomu ya urais, CCM yatia nia kwa mara nyingine kuipeleka Tanzania juu zaidi
- DC Nyasa awataka wananchi kutambua umuhimu wa lishe bora
- Polisi yatoa wito kwa wagombea na wafuasi kuzingatia sheria, kampeni kuanza kesho
- Mgombea nafasi ya urais CCM arejesha fomu INEC kugombea nafasi hiyo
- Madaktari China wampandikiza binadamu mapafu ya nguruwe
- Nchimbi amkabidhi ofisi Dk Migiro, aahidi kuendeleza uimara
- Tanzania kunufaika na fursa lukuki kupitia ushirikiano wa Afrika na Singapore