Category: MCHANGANYIKO
Weah: Mwanasoka aliyetamba dimbani, akatikisa katika siasa
Baada ya kumalizika kwa vita ya muda mrefu ya wenyewe kwa wenyewe huko Liberia, mwanasoka mstaafu, George Opong Weah, alitangaza kuwania urais wa nchi hiyo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2005, kisha akaanzisha chama kinachoitwa Congress for Democratic Change (CDC).
Brigedia Jenerali Aliasa Taifa
*Asema udini na ukabila ni ufa unaobomoa Taifa letu
Moja ya hotuba za Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, zisizochujuka ni ile aliyoitoa pale Kilimanjaro Hotel mbele ya Klabu ya Waandishi wa Habari Tanzania Machi 13, 1995.
Katika mazungumzo yake siku ile alitaja nyufa tano zinazolitikisa Taifa letu kuanzia kwenye paa, katika dari, kutani hadi kufikia katika msingi ule imara wa Taifa uliojengwa kwa muda mrefu. Nyufa zilizotajwa zilikuwa:-
* Muungano
* Kupuuza na kutojali
* Kuendesha mambo bila kujali sheria
* Rushwa, na
* Ukabila na udini.
Natabiri Nyalandu atakuwa tatizo
Siku chache baada ya uteuzi wa viongozi wakuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii – waziri na naibu wake, niliandika waraka mahsusi uliowahusu. Moja ya mambo niliyoyazungumza ni namna wizara hii ilivyo na vishawishi vingi vinavyotokana na ukwasi wake.
CCM iwabaini, iwatimue wanaoihujumu
Jumatano iliyopita, baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka kata mbili za Azimio wilayani Temeke na Tandale, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, waliandamana ili kupinga hujuma walizodai zinavuruga uchaguzi mkuu wa ndani wa chama hicho na jumuiya zake zote unaoendelea hivi sasa.
Nidhamu itawapa wabunge heshima
WIKI hii tumeshuhudia michango mbalimbali ikitoka kwa wabunge kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. Yametokea malumbano kati ya wabunge kadhaa na kiti cha Spika. Binafsi nilishuhudia tukio hili, hadi Mwenyekiti wa Bunge aliyekuwa amekalia kati cha Spika akaamuru mbunge mmoja kuondolewa ukumbini. Mabaunsa sita, walikwishajongea kwa nia ya kumtoa ukumbini, lakini yeye akajitoa mwenyewe.
Lundenga: Miss Tanzania imeitangaza nchi
Kwa muda wa miaka 18 iliyopita, mashindano ya Mrembo wa Tanzania yamekuza utamaduni, utalii na uwekezaji wa kigeni. Si hilo tu, mashindano haya yamewapa fursa mpya ya kujitambua wasichana Watanzania, anasema mwandaaji wa mashindano hayo, Hashim Lundenga.
Habari mpya
- Rose Migiro arithi mikoba ya Dk Nchimbi
- Amos Makalla Mkuu wa Mkoa Arusha, kuapishwa Jumanne
- Walioteuliwa Viti Maalum Tanzania Bara
- Majina ya wagombea wengine wa ubunge CCM hawapa
- CCM yatangaza majina ya wagombea ubunge, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum
- Waziri Lukuvi atoa maagizo ya Rais Samia ajali ya mgodi Nyandolwa
- JKCI yaonyesha matumaini kwa wazazi wa watoto wenye shida ya moyo Sinyanga
- Bondia Zigo kuwania mkanda wa Ubingwa wa Dunia leo
- Mwenyekiti CCM Taifa na aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri
- Ushirikishaji jamii katika matengenezo ya barabara utaiounguzia mzigo Serikali
- Wasiojulikana wamshambulia aliyekuwa Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Same Mapande
- Bagamoyo sasa ni Halmashauri ya Mji, Serikali kumwaga bilioni 1
- Watumishi wa afya waaswa kuhudumiwa wananchi kwa upendo
- Mkutano wa TISA wa Wakuu wa Nchi na Serikali TICAD wahitimishwa jijini Yokohama
- Wazazi wahimizwa kuwatibu watoto ugonjwa wa mafindofindo kuwaepusha na magonjwa ya valvu za moyo