JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Rais Samia aridhia ajira mpya 300 TRA

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kuongeza nafasi za ajira 300 katika mamlaka hiyo. Taarifa ya Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala TRA, Moshi Kabengwe kwa niaba ya Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph…

Majaliwa akutana na Waziri Mkuu wa Japan

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Japan, Ishiba Shigeru ambaye amemuhakikishia kuwa nchi hiyo itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania jambo ambalo linalenga kuchochea ukuaji wa uchumi kutokana na fursa zitakazoendelea kupatikana kupitia mahusiano hayo. Amekutana na kiongozi…

Waziri Mkuu aendelea kuwashawishi wa Japan kuwekeza nchini

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameendelea kuwashawishi wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa wa Japan kuja kuwekeza kwenye sekta za kilimo, afya, uchumi wa buluu, nishati, miundombinu, ufugaji na TEHAMA kwani Serikali imeshaboresha mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji. Ameyasema hayo leo (Jumatano, Mei 28,…

Atakumbukwa daima mpiganaji wa haki na msomi wa fasihi Ngugi wa Thiong’o

Na Mwandishi Maalum Ngugi wa Thiong’o, gwiji wa fasihi kutoka Kenya na mpigania haki kwa njia ya kalamu, ameaga dunia akiwa na miaka 87. Kazi zake zilijikita katika kupinga ukoloni wa kiakili, na kuhimiza matumizi ya lugha za Kiafrika. Ngugi…

Wananchi Njombe wahamasisha kupata huduma za madaktari wa Rais Samia

Na WAF, Njombe Wananchi mkoani Njombe wameshimdwa kuficha hisia zao mara baada yakupatiwa matibabu na kuamua kuhamasishana wao kwa wao kuhudhuria kambi ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia inayoendea hivi sasa katika halmashauri zote za mkoa huo, kwani muda wa…