JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Rais Samia akizungumza na viongozi pamoja na wananchi wa Sengerema

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mama Mzazi wa Mama Janeth Magufuli (Juliana Stephano Kidaso) katika eneo la Kigongo Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza tarehe 13 Oktoba, 2024.   Rais wa Jamhuri ya Muungano…

Rais Samia: Kiongozi anayeweka Tanzania kwenye ramani ya maendeleo ya sekta ya madini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan, alifunga rasmi Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini yaliyofanyika mkoani Geita. Hafla hii ilikuwa ishara nyingine ya uongozi wa kipekee wa…

TCRA, TAMWA wazindua tuzo za waandishi wa habari za maendeleo ‘Samia kalamu awards’

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es salaam Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wametangaza rasmi Mashindano ya Tuzo za Waandishi wa habari za maendeleo ‘Samia Kalamu Awards’ zenye kauli mbiu ya…