Category: MCHANGANYIKO
Wadau wapitia mkakati wa taifa wa kupunguza uzalishaji wa gesijoto
Na Mwandishi Wetu WADAU wametakiwa kuiunga mkono Serikali katika kuhakikisha agenda ya mabadiliko ya tabianchi na hifadhi ya mazingira inakuwa sehemu ya vipaumbele katika kutekeleza majukumu ya kila siku. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira Dkt. Paul Deogratius…
Rais Namibia atembelea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. NetumboNandi-Ndaitwah alipowasili chuoni hapo leo asubuhi ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kiserikali ya siku mbili nchini. Rais…
Serikali yajikita kuboresha kilimo kupitia BBT na Bajeti ya Trilioni 1.24/-
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imewasilisha mpango wake wa makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ukilenga kuimarisha ajira staha kwa vijana na wanawake kupitia Programu ya Building a Better Tomorrow (BBT)…
Kenya yajifunza uchimbaji na biashara ya makaa ya mawe Tanzania
📍 Dodoma Tanzania imeendelea kuwa kinara katika usimamizi na uendelezaji wa Sekta ya Madini katika eneo la Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, hali iliyoivutia nchi jirani ya Kenya kuja kujifunza mbinu bora za uchimbaji wa makaa ya mawe. Ujumbe…
CBE kuanzisha Shahada ya Uhandisi wa Viwandani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kinatarajia kujenga maabara za kisasa zitakazoidhinishwa na mashirika ya kimataifa ya viwango ambazo zitakuwa kitovu cha mafunzo, utafiti, na ushauri wa vipimo katika Afrika Mashariki na Kati….
Tanzania, Namibia zakubaliana kukuza ushirikiano kiuchumi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Namibia zimekubaliana kuongeza juhudi za kukuza ushirikiano wa kiuchumi kwa kutafuta njia madhubuti za kukuza biashara baina yao, ikiwa ni pamoja na kuwezesha uwepo wa…