Category: MCHANGANYIKO
Vita ya madaraka PSSSF
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Mtifuano mkali unaotajwa kuwa na viashiria vya kunyemelea madaraka unaendelea ndani ya Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), ambapo kundi la wafanyakazi waliohamishwa baada ya mifuko kuunganishwa wamefikisha malalamiko kwenye Baraza la Tume ya Maadili…
Rais Samia amlilia Balozi Paul Rupia
Balozi Rupia (86) amefariki leo asubuhi nchini Afrika Kusini ambapo amewahi kushika nyadhifa mbalimbali kama ofisa katika Wizara ya Mambo ya Nje katika nchi mbalimbali. Pia, aliwahi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa…
Wanne wahukumiwa kunyongwa kwa kuwaua Polisi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tabora Mahakama ya Kuu Kanda ya Tabora imewahukumu watu wanne kunyongwa hadi kufa kwa tuhuma za kuwaua askari wawili wa Jeshi la Polisi wa kituo cha Usoke wilayani Urambo mkoani Tabora. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa…
Mifugo vamizi changamoto ya uhifadhi nchini
Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),tarehe 14 Septemba 2022 imefanya ziara ya kutembelea Hifadhi ya Taifa Ruaha mkoani Iringa kujionea athari za uvamizi wa mifugo katika eneo la Bonde la Ihefu . Katika ziara hiyo,…





