JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mwigizaji wa filamu ‘Sonia’ afariki dunia

Msanii wa filamu nchini Tanzania, Farida Sabu maarufu ‘Sonia’ amefariki dunia.Sonia amewahi kuwika katika maigizo mbalimbali ya kundi la Kaole. Mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji, Chiki Mchoma amethibitishwa leo Alhamisi Julai 21, 2022 na Amesema marehemu Sonia amefikwa na umauti…

Uganda yajifunza usafirishaji mafuta ghafi TAZAMA

NA Zuena Msuya, JamhuriMedia,Dar Serikali kupitia Wizara ya Nishati imepokea Ujumbe kutoka nchini Uganda waliokuja nchini, kuona na kujifunza mambo mbalimbali kuhusu sekta ya Mafuta hasa usafirishaji wa mafuta ghafi kupitia Bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Tanzania hadi Zambia…

‘Asiyeshiriki kuhesabiwa anarudisha nyuma maendeleo’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Hanang’ Serikali imepanga kuhesabu kwa mara moja watu wote watakaolala nchini kwenye usiku wa kuamkia siku ya sensa Agosti 23 mwaka huu. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Mwigulu Lameck Nchemba ameyasema hayo mji mdogo wa Katesh Wilayani…

Yanga ‘kujifungia’ Kigamboni Dar

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, na Michuano ya ASFC, Young Africans SC wamethibitisha kuwa wataweka kambi ya maandalizi ya msimu ujao wa mashindano jijini Dar es Salaam katika hosteli za Avic Town, Kigamboni. Akizungumza…

Nyangao waomba madaktari bingwa zaidi kutoka MOI

LINDI Na Aziza Nangwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya St. Walburg’s Nyangao, Dk. Masanja Kasoga, anaiomba serikali na wadau kuwawezesha na kuongeza madaktari bingwa wa mifupa, ubongo na mishipa ya fahamu  kutoka Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI). Uongozi wa hospitali…