Category: MCHANGANYIKO
Azimio watumia hasira za Ruto kumdhoofisha
MOMBASA NA DUKULE INJENI Kampeni za kisiasa nchini Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mapema mwezi ujao zinaingia hatua za lala salama huku kila upande ukitumia vema majukwaa ya siasa kupigana vijembe badala ya kuuza sera. Licha ya uwapo wa wagombea…
Chana:Wadau wa utalii changamkieni fursa onesho la SITE
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Arusha Wadau wa utalii wa ndani na nje ya nchi hususan Wakala wa Biashara za Utalii, watoa huduma za malazi, Wakala wa Safari na waongoza watalii wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi na kijamii zitakazotokana na Onesho la _Swahili…
Serikali yabaini chanzo cha ugonjwa usiojulikana Lindi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Ruangwa Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu amesema kuwa upimaji wa sampuli za wagonjwa waliokuwa wakiugua ugonjwa usiojulikana katika Wilaya ya Ruangwa katika Mkoa wa Lindi umethibitisha mlipuko huu kuwa wa ugonjwa wa Leptospirosis, Field Fever kwa lugha…
Mapya yaibuka Mkuu wa Gereza
*Ni yule anayetuhumiwa kwa mauaji ya mfungwa Liwale *Adaiwa kupelekewa kitanda cha futi tano kwa sita alalie gerezani *Askari magereza walalamika kulazimishwa kumpigia saluti wakati ni mahabusu Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam Mkuu wa Gereza la Wilaya ya Liwale,…
Ukwepaji kodi uwindaji wa kitalii
*Malipo yafanywa kwenye benki za ughaibuni *Akaunti kadhaa zabainika kufunguliwa Mauritius *Tanzania yaambulia ‘kiduchu’, nyingi zaishia huko *TRA, Wizara Maliasili hawana taarifa za wizi huo DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Baadhi ya kampuni za uwindaji wa kitalii zinatuhumiwa kukwepa…
Ma-DJ warembo wanaosumbua Afrika
NA CHRISTOPHER MSEKENA Hivi karibuni wasichana wamekuwa mstari wa mbele katika kuchagiza mafanikio ya Bongo Fleva, hasa katika upande wa kuchezesha muziki kama ma-dj katika vituo vya utangazaji (redio na runinga), matamasha, klabu na kadhalika. Warembo kama DJ Fetty, DJ…





