Category: MCHANGANYIKO
Wizara ya Nishati kivutio maonesho wiki ya chakula Tanga
*📌Ni kwenye kutoa elimu ya masuala ya Nishati Safi ya Kupikia 📌Wananchi wamejitokeza kwa wingi kujipatia majiko ya bei ya ruzuku ya shilingi 17,500/= Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Ushiriki wa Wizara ya Nishati na taasisi zake (Wakala wa Nishati…
Wenje ajiunga CCM, atamba kujiunga na Ligi Kuu
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Kanda ya Ziwa Victoria, Ezekiel Wenje amejiondoa kwenye chama hicho na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wenje ametangaza uamuzi huo mbele ya mkutano mkubwa wa mgombea urais wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan…
Samia amwaga neema mkoani Geita
Na Kulwa Karedia, JamhuriMedia, Geita MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amemwaga neema ya mambo muhimu mkoani Geita ambayo ameahidi kuyatekeleza endapo atapata ridhaa ya kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, mwaka huu. Neema hiyo…
CRDB yazindua huduma ya kidijitali ya ‘Tokenization’ kurahisisha upokeaji wa fedha bila akaunti
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BENKI ya CRDB imezindua rasmi huduma mpya ya kidijitali inayojulikana kama Tokenization, itakayowawezesha Watanzania wakiwemo wale wasiokuwa na akaunti ya benki kupokea fedha kutoka kwa mawakala wa CRDB bila kutozwa gharama ya ziada….
Wachimbaji madini zaidi ya 250 wamuhakikishia Dk Samia kumpa kura
Rais wa Wachimbaji Madini, John Bina, amesema kuwa wachimbaji zaidi ya 250 wamemhakikishia kuwa watamchagua Oktoba 29 kwa sababu amewaheshimu. Aidha, amebainisha kuwa hapo zamani familia zilikuwa na hofu kwamba kijana akiwa mchimba madini anapotea. Ameyasema hayo Oktoba 13, 2025,…
Ulinzi waimarishwa kilele cha mbio za mwenge kitaifa Mbeya
Oktoba 7, 2025 Mwenge wa Uhuru uliingia katika Mkoa wa Mbeya ukitokea katika Mkoa wa Songwe ambapo mapokezi yalifanyika katika mazingira ya usalama wa hali ya juu kutokana na ushirikiano tulioupata kutoka kwa wananchi wa Jiji letu la Mbeya. Hadi…





