Category: MCHANGANYIKO
Rais Samia atoa zawadi za mwaka mpya kwa watoto Dodoma
Na Abdala Sifi WMJJWM – Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt Samia Hassan Suluhu ametoa zawadi kwa Watoto wanaolelewa katika makao mbalimbali nchini kwa lengo la kuwapa faraja na upendo msimu huu wa sikukuu. Zawadi hizo…
Ofisi ya Waziri Mkuu yakabidhi vifaa vya misaada ya kibinadamu kwa waathirika wa mafuriko Kilosa
Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) kupitia Idara ya Menejimenti ya Maafa leo Tarehe 2, Januari 2026 imekabidhi vifaa mbalimbali vya misaada ya kibinadamu kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa kwa Ajili ya waathirika wa Mafuriko…
Basi dogo na lori la mizigo laua 10, Polisi watoa wito
Na Farida Mangube, Morogoro Watu kumi wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia leo Januari Mosi 2026 katika eneo la Mwidu Mikese, mkoani Morogoro. Ajali hiyo ilihusisha basi dogo na lori la mizigo…
Meya Kibaha akisimamisha uzalishaji kiwanda cha Fortune paper kwa uchafuzi mazingira
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha WANANCHI wa Kata ya Misugusugu, Manispaa ya Kibaha, wamelalamikia uchafuzi mkubwa wa mazingira unaotokana na maji machafu yanayotiririshwa na baadhi ya viwanda, ikiwemo Kiwanda cha karatasi cha Fortune Paper, hali iliyolazimu manispaa kusimamisha shughuli za…





