JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wananchi Dodoma wanufaika na elimu ya madini katika maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Maelfu ya wananchi kutoka Mkoa wa Dodoma na mikoa ya jirani wamejitokeza kwa wingi katika viwanja vya Chinangali kushiriki Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, huku wengi wakivutiwa na Banda la Tume ya Madini…

Rais Samia atembelea mradi wa REA Simiyu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametembelea mradi wa nishati safi ya kupikia wa shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo na kupewa maelezo na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith…

Benki ya Akiba Commercial Plc ACB yashirikiana na Chuo cha TIA kupanda miti 1,500

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaDar es Salaam Benki ya Akiba Commercial Plc (ACB) kwa kushirikiana na Taasis ya Uhasibu Tanzania (TIA), imepanda miti 1,500 katika kampasi ya TIA ya Kurasini ikiwa ni sehemu ya juhudi endelevu za kulinda mazingira chini ya mpango…

Bei ya kujaza gesi (LPG) kwa matumizi ya kupikia ni himilivu-Kapinga

📌 Wizara ya Nishati na TAMISEMI zaendelea kushirikiana kuhakikisha Shule mpya zinafungwa mifumo ya Nishati Safi ya Kupikia Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema gharama ya kujaza gesi kwenye mitungi (LPG) ni himilivu ikiwa ni jitihada zinazoendelea kuchukuliwa…

Wazazi waipongeza GEL kwa elimu kuhusu fursa za masomo nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam ZAIDI ya wanafunzi 200 wanatarajiwa kusafiri kwenda masomoni kwenye mataifa mbalimbali kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026 hivi karibuni kuanza pitia uratibu wa Global Education Link (GEL). Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na…