JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wakili Mpanju awapa somo wahitimu maendeleo ya jamii UDOM

Na WMJJWM- Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju amewataka wahitimu wa Shahada ya Elimu ya Watu wazima na Maendeleo ya Jamii wa Chuo Kikuu cha Dodoma kuzingatia Sera na…

Balozi Nchimbi : Fidia ya mifugo iliyotaifishwa lihitimishwe

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa maelekezo kwa Serikali, kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, kuratibu mazungumzo ya kuwalipa fidia wafugaji ambao mifugo yao ilitaifishwa lakini walishinda kesi mahakamani, ili suala hilo limalizike. Balozi…

Serikali itaendelea kuwalinda wazee – Naibu Waziri Mwanaidi

Na WMJJWMM-Shinyanga Serikali inaendelea kuhakikisha Wazee wanaishi kwa usalama na kulindwa dhidi ya vitendo na aina yoyote ya ukatili kupitia afua mbalimbali ikijumlisha sera, kanuni na mikakati mbalimbali. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na…