JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

RC Chalamila ataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya majanga ya moto

RNa Mwandishi Wetu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Octoba 1, 2023 amefika eneo la ajali ya moto Kariakoo jijini Dar es Salaam ambapo moto umetokea majira ya asubuhi na kusababisha kuteketea jengo moja pamoja na…

Asilimia 77.3 ya Vijiji Kagera vyaunganishwa na umeme wa REA

Na Lilian Lundo na Veronica Simba, JamhuriMedia, Kagera Vijiji 512 kati ya Vijiji 662 vya Mkoa wa Kagera ambayo ni sawa na asilimia 77.3 ya vijiji vya mkoa huo vimepata huduma ya umeme kupitia miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini…

Njia ya matundu kutumika upandikizaji figo Mloganzila

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kufuatia uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila itafanya huduma ya kibingwa na Bobezi ya Upandikizaji figo…

CTI yahimiza wenye viwanda washiriki maonyesho ya viwanda Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia SHIRIKISHO la Wenye Viwanda Nchini (CTI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya  Biashara (TanTrade), wameandaa maonyesho makubwa ya kimataifa ya viwanda ambapo zaidi ya viwanda 200 vya ndani na nje ya nchi vitashiriki maonyesho hayo….

Biteko : Viongozi nendeni mkawasikilize wananchi

Teresia Mhagama na Godfrey Lulinga Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali nchini kwenda kwenye maeneo ya wananchi kwa ajili ya kutoa huduma, kusikiliza kero zao na kuzitatua. Amesema hayo tarehe 28…