Category: Siasa
HOTUBA YA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MHESHIMIWA BALOZI KHAMIS SUEDI KAGASHEKI (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2013/2014
- UTANGULIZI
- Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira iliyowasilishwa leo ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wake Mhe. James Daudi Lembeli (Mb.), Bunge lako Tukufu sasa lipokee na kujadili Makadirio na Matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi zake kwa mwaka 2013/14.
TANAPA kununua ndege mbili za doria
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) katika kupambana na majangili, mwaka huu wa fedha wa 2013/2014 limepanga kununua ndege mbili za doria na magari 43, Bunge limeelezwa.
Twiga wawili wana thamani kuliko watoto 360,000?
Mbunge wa Nyamagana, Ezekia Wenje (Chadema), ameshangazwa na kilio kikubwa cha twiga bungeni ikilinganishwa na thamani ya watoto 360,000. Ifatayo ni kauli ya mbunge huyu neno kwa neno. Endelea…
Kinana apata mtetezi bungeni
*Asafishwa biashara ya meno ya tembo
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emanuel Nchimbi, amemtetea Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, akisema kampuni yake ya utoaji huduma melini, haikuhusika na usafirishaji meno ya tembo kwenda ughaibuni.
Mwarobaini wa majangili wapatikana
Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na vyombo vya Ulinzi na Usalama imeunda kamati ndogo inayoandaa Mpango Kazi wa kuzuia na kudhibiti ujangili.
Mkono, Lugola aivuruga CCM
*Hoja zao, Filikunjombe, zaifanya iwahisi ni Chadema
*Nyoka wa shaba apenya mioyoni mwa wabunge wote
*CCM yaandaa mkakati kuwavua uanachama mwezi ujao
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinajiandaa kuwapa adhabu kali baadhi ya wabunge wake wanaoendesha mijadala ya kuichachafya Serikali bungeni kwa hofu kuwa wanatumiwa na chama kikuu cha upinzani bungeni, Chadema.