Category: Siasa
Lema asiwe Mkatoliki kuliko Papa
Februari Mosi Mwaka huu, Jiji la Arusha limezindua kampeni ya kudumu ya usafi wa mazingira. Tayari baadhi ya mitaa ya jiji hilo imeanza kupendeza.
Mradi huo unaohusisha ukarabati wa barabara, mitaro, dampo, taa za barabarani na za
Askari alalamikiwa kubaka wanawake
Wizara ya Maliasili na Utalii imekumbwa na kashfa nyingine. Safari hii askari wanyamapori wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (SENAPA) na Pori la Akiba la Kijereshi wilayani Busega mkoani Simiyu, wakituhumiwa kubaka wanawake.
Wafanyakazi OSHA kuanika uovu leo
Malalamiko ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) dhidi ya Mtendaji Mkuu wao huenda yakapatiwa ufumbuzi leo katika mkutano na viongozi wa ngazi za juu.
Zitto amuumbua Spika
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), amesema Spika Anne Makinda, asipodhibitiwa, ataiua nchini kutokana na uongozi wake wa kiimla.
Wanawake wamsononesha Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesononeshwa na idadi ndogo ya wanafunzi wa kike, katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST).
Mongela asikilizwe kuhusu makaburi
Wiki iliyopita, Mkuu wa Wilaya ya Arusha, John Mongela, aliibua hoja ya mpango wa taifa wa ardhi ya kuzika wafu.