Category: Siasa
Walinzi GGM watuhumiwa kwa ujambazi
Kashfa nzito imeukumba Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM), baada ya baadhi ya walinzi wake kudaiwa kujihusisha na matukio ya ujambazi wa kutumia silaha.
Imedaiwa kuwa walinzi hao wanapomaliza kufanya matukio hayo yakiwamo ya utekaji na uporaji, fedha zinazopatikana huzitumia kuwaziba midomo baadhi ya viongozi wa vyombo vya dola wasiwafikishe katika mkono wa sheria.
Walinzi GGM watuhumiwa kwa ujambazi
Kashfa nzito imeukumba Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM), baada ya baadhi ya walinzi wake kudaiwa kujihusisha na matukio ya ujambazi wa kutumia silaha.
Imedaiwa kuwa walinzi hao wanapomaliza kufanya matukio hayo yakiwamo ya utekaji na uporaji, fedha zinazopatikana huzitumia kuwaziba midomo baadhi ya viongozi wa vyombo vya dola wasiwafikishe katika mkono wa sheria.
Siri zavuja Bandari
Kipande abanwa Bandari
TCAA nako kwafukuta ufisadi
*Wakurugenzi wahariri Waraka wa Hazina
*Mbinu hiyo yawafanya walipane mamilioni
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), inakabiliwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.
Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Fadhil Manongi, hadi wiki iliyopita bado alikuwa akiendelea na dhima za kiofisi licha ya muda wake wa kung’atuka kuwadia.
Wakati Manongi akijiandaa kuiacha ofisi hiyo, kumekuwa na malalamiko ya matumizi mabaya ya fedha miongoni mwa wakurugenzi ambao ni washirika wake.
Siku za Kipande bandarini zahesabika
*Ni baada ya kuthibitika anatumia vibaya jina la Rais Kikwete, Ikulu
*Amuagiza Mwakyembe amchunguze, wafuatilia kumtukana Balozi
* Mtawa, Gurumo nao wakana, Mwakyembe adaiwa kumwogopa
*Aendelea kukaidi maagizo ya Bodi, amng’oa rasmi aliyeomba kazi yake
Na Deodatus Balile
Siku za Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, Mzee Madeni Kipande (58), kuendelea kuwa madarakani zinazidi kuyoyoma baada ya Rais Jakaya Kikwete kukerwa na tabia yake ya kutumia jina la Rais kuhalalisha matendo yake yenye kukiuka sheria za utumishi wa umma.
Habari za uhakika kutoka Ikulu na kwa baadhi ya mawaziri waandamizi, zinasema Rais Kikwete baada ya kupata taarifa za Kipande kutumia vibaya jina lake, alichukia na kuamua kumwita Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, na kumpa maagizo mazito.
Habari mpya
- NSSF yakusanya bil.150/- daraja la Kigamboni
- Ajali yaua askari watano na mahabusu 7 Iramba
- Naibu Waziri Ndege akabidhi mifuko 100 ya saruji Babati
- TPDC yavuna bilioni 72.98, yafungua ukurasa mpya wa nishati
- EWURA CCC yatoa elimu ya haki na wajibu wa watumiaji wa huduma za nishati na maji
- Idara ya Utafiti, mipango na uwekezaji TANESCO waaswa kufanyakazi kwa ubunifu
- TARURA Pwani yatekeleza agizo la ukaguzi wa miundombinu, yabainisha maeneo 221 hatarishi
- Mwenge waridhia miradi yote 11 Nzenga ya bilioni 4.1
- Mwenge wazindua barabara ya lami Lumambo -Kitongo Nzega
- ‘NMB the GOAT’ atamba mbio za mbuzi, amshinda mpinzani wa Bowman
- Tanzania, China zasaini mkataba wa ujenzi wa Hospitali mpya ya JKCI Mlonganzila
- Simba 10 wauwawa eneo la Ndutu Ngorongoro
- Makamu wa Rais afanya ziara kushtukiza mto Ng’ombe, aagiza taka ziondolewe haraka
- Ndivyo msamaha kodi mwaka mzima ulivyo nyenzo ya kuwakuza wafanyabiashara wadogo
- Tanzania kuwa mwenyeji wa Kongamano la Mitaala Afrika
Copyright 2025