Category: Siasa
Twende tuwekeze Sudan Kusini – Jenerali Kisamba
*Saruji, ngano, vifaa vya ujenzi, alizeti vinahitajika *Asema majirani zetu wameshaanza kunufaika mno Ushauri umetolewa kwa Tanzania na Watanzania kuamka na kuchangamkia fursa za uwekezaji na biashara zilizojitokeza katika taifa jipya la Sudani Kusini. Ushauri huo umetolewa na…
Kashfa uporaji ardhi kubwa Pinda ahusishwa
*Mmoja wa washirika ajitoa kuepuka aibu
*Ni Chuo Kikuu cha Iowa cha Marekani
*Yabainika wanaleta teknolojia hatari nchini
[caption id="attachment_124" align="alignleft" width="160"]Waziri Mkuu Mizengo Pinda[/caption]Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameendelea kubanwa kuhusu uamuzi wake wa kuwasaidia Wamarekani kujitwalia ekari laki nane za ardhi kwa miaka 99 mkoani Katavi.
Nyalandu anavyomhujumu Kagasheki
*Adaiwa kula njama wawekezaji wasilipe kodi
*Aendesha kikao bila Kagasheki kuwa na taarifa
*Bodi ya TANAPA yakataa mapendekezo yake
Mgogoro ulioripotiwa na Gazeti hili la JAMHURI wiki iliyopita kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamis Kagasheni na Naibu wake, Lazaro Nyalandu, sasa umechukua sura mpya.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Nyalandu, ameingia matatani tena baada ya kubainika kuwa anashinikiza Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) lisianze kutoza ‘concession fee’ katika hoteli za kitalii nchini, JAMHURI limebaini.
Uamuzi huo unaikosesha Serikali mapato yanayofikia Sh bilioni 17 kwa mwaka. Jaribio la kwanza la Nyalandu kufanikisha mpango wake liligonga mwamba kwenye kikao chake na menejimenti ya TANAPA, kilichofanyika Juni 8, mwaka huu mjini Moshi.
Pinda akunjua makucha rasmi
Serikali imesema kuanzia sasa watumishi wabadhirifu wa fedha za umma hawatahamishiwa vituo vingine vya kazi, bali watachunguzwa na ikibainika watafukuzwa kazi mara moja.
Katibu Mkuu Nishati amwagiwa sifa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, amemwagiwa sifa kwa jinsi alivyowabana watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kufanikisha upatikanaji wa mita 85,000 za umeme.
- Majaliwa awasili viwanja vya shule Ushirombo kusherehekea Siku ya Mwalimu Bukombe
- Othman Masoud: Wazee wana wajibu kubeba mabadiliko ya Zanzibar
- Mapokezi ya Othman Masoud Unguja na Pemba ishara ya Rais mpya ajae
- Karatu imeridhia Dk Samia wamempokea kwa kuweka historia mpya
- Fredrick Lowassa: Wana Arusha mchagueni Dk Samia anajua mahitaji yenu na ana uwezo wa kuyatatua
Habari mpya
- Majaliwa awasili viwanja vya shule Ushirombo kusherehekea Siku ya Mwalimu Bukombe
- Othman Masoud: Wazee wana wajibu kubeba mabadiliko ya Zanzibar
- Mapokezi ya Othman Masoud Unguja na Pemba ishara ya Rais mpya ajae
- Karatu imeridhia Dk Samia wamempokea kwa kuweka historia mpya
- Fredrick Lowassa: Wana Arusha mchagueni Dk Samia anajua mahitaji yenu na ana uwezo wa kuyatatua
- Karatu waandika historia mapokezi kwa Dk Samia
- Dk Migiro awasili Karatu, atoa salama za ujio wa Dk Samia
- JKCI, HTAF waanzisha shindano la insha shuleni kuhusu magonjwa ya moyo
- Tanzania miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri katika matumizi ya TEHAMA
- Watoto watatu wa familia moja wafariki kwa ajali ya moto Kibaha
- BOT, wadau kimataifa waipongeza Benki ya CRDB mageuzi ya mfumo nkuu
- Makonda: Samia amefanya makubwa
- Mgombea urais ACT-Wazalendo Othman Masoud aahidi neema kwa wavuvi Zanzibar
- Dk Nchibi aingia Mtwara Vijijini kusaka kura za Samia
- Dk Samia awasili uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha