JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Ummy amshukuru Samia kujali wenye ulemavu

Na Mwandishi Wetu-Jamhuri Media, Moshi Mbunge mteule wa viti maalum watu wenye ulemavu na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu). Ummy Nderiananga amesema Rais Samia Suluhu Hassan amewatendea haki watu wenye ulemavu na kuwaomba Watanzania wamchague….

Mkenda asema Rais Samia amepeleka bil. 8.9/- za maji Rombo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Moshi Mgombea ubunge Jimbo la Rombo, Profesa Adorf Mkenda amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Sh bilioni 8.9 kwa ajili ya mradi mkubwa wa maji kutoka Ziwa Chala. Ametoa kauli hiyo alipopewa nafasi ya kusalimia maelfu ya…

Othman Masoud: Sauti ya Mabadiliko na ushindi wa Zanzibar Oktoba 29

Meneja wa kampeni za Mgombea Urais wa ACT Wazalendo, Ismail Jussa Ladhu, amewataka Wazanzibari kujitokeza kwa wingi ifikapo Oktoba 29 ili kumchagua Othman Masoud Othman, akisema huu ndio wakati wa kurejesha heshima, utu na thamani ya wananchi wa Zanzibar. Akizungumza…

Juma Duni Haji :ACT Wazalendo yashikilia nguvu ya ushindi Zanzibar

Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji, amesema hakuna nguvu itakayoweza kuizuia ACT kutoshinda Urais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, hata kama uchaguzi huo ungefanyika kwa mwezi mzima na sio kwa siku mbili pekee….