Category: Biashara
Waziri akagua mradi wa kitalu cha miche ya mil.43/-
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja (Mb) amekagua mradi wa kitalu cha miche ya miti wenye thamani ya shilingi milioni 43 unaosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza. Akizungumza leo katika…
Waziri Gwajima aipongeza NMB kuwajali machinga
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima ameipongeza benki ya NMB kwa kutenga fedha kwaajili ya mikopo ya machinga na pia kuweka huduma zitakazorahisisha utendaji kazi wa kundi hili la wafanyabiashara…
Mikataba ya mafuta yavunja rekodi robo ya nne 2020
Licha ya Corona kuendelea kuitikisa dunia lakini mikataba inayohusiana na shughuli za mafuta na gesi ziliongezeka katika robo ya nne ya mwaka jana katika eneo la Afrika na Mashariki ya Kati, ripoti inaonyesha. Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na GlobalData inaonyesha…
Tanzania yang’ara vita dhidi ya rushwa
Tanzania imetajwa kama nchi ya mfano katika mapambano dhidi ya rushwa katika eneo la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Ripoti ya kiwango cha rushwa kwa mwaka 2020 iliyotolewa hivi karibuni na Transparency International imebainisha kuwa katika kipindi cha miaka…
Serikali yajipanga kuboresha sekta ya uvuvi
Serikali imepanga kutumia zaidi ya Sh bilioni 92 mwaka ujao wa fedha kuimarisha sekta ya uvuvi nchini ili kuhakikisha fursa zinazopatikana kwenye sekta hiyo zinachangia kikamilifu maendeleo ya nchi. Kwa mujibu wa Wizara ya Fedha na Mipango, kiasi kikubwa cha…
Soko la Bidhaa lawanufaisha wakulima
Na Mwandishi Wetu Wakulima nchini wameanza kunufaika na kuwepo kwa Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) ambalo lipo mahususi kusaidia masoko ya mazao yanapatikana kwa wakati sahihi na mauzo yanafanyika kwa ushindani stahiki. Na katika kuhakikisha kuwa faida za soko hilo…