Category: Kitaifa
Nimrod Mkono aumizwa
*Nyumba ya Sh bil. 7 inauzwa kulipa Sh mil. 30 *Familia yapambana usiku, mchana kunusuru * Tayari ofisi zake ghorofa 2 zimepigwa mnada NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Nyumba ya makazi ya mwanasheria na mwanasiasa nguli nchini, Nimrod Mkono,…
Benki yahukumiwa kwa kumwibia mteja
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Biashara imeiamuru EcobankTanzania Limited kumlipa mteja wake zaidi ya Sh milioni 100 baada ya kukutwa na hatia ya ‘kukwapua’ takriban Sh milioni 66 kutoka kwenye akaunti yake. Hukumu…
Gwajima, Polepole, Silaa wazidi kubanwa mbavu
DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Mienendo ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima (Kawe), Jerry Silaa (Ukonga) na Humphery Polepole (kuteuliwa) inazidi kumulikwa. Kumulikwa kwa mienendo hiyo hasa kwa Gwajima na Silaa kunatokana na kuadhibiwa Jumanne…
Rais Mwinyi achukua uamuzi mgumu Z’bar
ZANZIBAR Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema serikali imefanya uamuzi mgumu wa kuziuza meli zote za Shirika la Meli la Zanzibar (Shipco). Akizungumza wakati wa majumuisho ya ziara yake…
Hamza pasua kichwa
NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Kitendawili cha nini kilichomsukuma Hamza Mohammed kufanya mauaji ya watu wanne na baadaye naye kuuawa kinaendelea kuwa kigumu, baada ya mamlaka inayohusika na magonjwa ya afya ya akili kukana kumtibu. Kitengo cha Magonjwa ya…
Mahabusu: Mahakama zinatutesa
Mahabusu nchini wamelaumu taarifa iliyotolewa hivi karibuni isemayo mashauri yaliyokuwa yamerundikana mahakamani yamemalizika kwa asilimia 98. Katika barua waliyoandika kwa Waziri wa Sheria na Katiba na nakala kwenda kwa Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mtendaji Mkuu wa Mahakama…