Category: Kitaifa
Walemavu walalamika ombaomba kuondolewa
Hatua ya Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kutunga sheria ya kuwaondoa ombaomba jijini inapingwa na Chama cha Walemavu Tanzania (CHAWATA), kikidai kutozingatiwa kwa hali na utu wa watu wenye ulemavu. Manispaa ya Ilala imetunga sheria ndogo kupiga marufuku ombaomba katika…
Dunia yazizima
Wakati dunia ikizizima kutokana na kusambaa kwa ugonjwa wa corona, kamati za maafa katika mikoa mbalimbali nchini zimekuwa katika kipindi cha tahadhari zikisimamia kanuni na maelekezo yanayotolewa na Serikali Kuu za kudhibiti maambukizi ya ugonjwa huo. Hadi tunakwenda mitamboni, ni…
Serikali yajipanga kuboresha sekta ya uvuvi
Serikali imepanga kutumia zaidi ya Sh bilioni 92 mwaka ujao wa fedha kuimarisha sekta ya uvuvi nchini ili kuhakikisha fursa zinazopatikana kwenye sekta hiyo zinachangia kikamilifu maendeleo ya nchi. Kwa mujibu wa Wizara ya Fedha na Mipango, kiasi kikubwa cha…
Kigoma sasa yafunguka
Ndoto ya kuunganisha kwa lami Tanzania, Burundi, DRC kupitia ‘central corridor’ yaiva Mtandao wa barabara kuu na barabara za mikoa nchini Tanzania unaosimamiwa na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) una jumla ya kilomita 36,258…