Category: Kitaifa
Corona yasababisha biashara kudorora
Kutangazwa kuwapo nchini kwa ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya corona kumesababisha kusuasua kwa huduma katika baadhi ya masoko jijini hapa. JAMHURI limetembelea masoko ya Kariakoo, Karume na Kisutu ambayo aghalabu huwa na idadi kubwa ya watu wanaouza na…
Kamati yaibua mengi Lodhia, Tanesco
Wananchi wilayani Mkuranga wameutupia lawama uongozi wa Kiwanda cha Nondo cha Lodhia wakidai kunyanyasa wafanyakazi na kutokuwa na ushirikiano kwa jamii inayokizunguka. Wakizungumza mbele ya Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Subira Mgalu, hivi karibuni, wananchi ambao miongoni mwao ni…
Waziri Simbachawene awanyoosha NIDA
Siku chache baada ya Gazeti la JAMHURI kuchapisha habari za uchunguzi kuhusu ulegelege wa Mamlaka ya Vitambulisho Tanzania (NIDA) kushindwa kufanya kazi ya kutoa vitambulisho vya uraia inavyotakiwa kutokana na kuharibika kwa mitambo na hujuma za baadhi ya watumishi, Waziri…
Wafanyabiashara walikimbia Soko la Buguruni
Zaidi ya wafanyabiashara 500 katika Soko la Buguruni katika Manispaa ya Ilala wamelikimbia soko hilo kutokana na changamoto mbalimbali, ikiwemo kutokuwepo kwa usafiri wa uhakikika kwa wateja na miundombinu mibovu wakati wa mvua. Akizungumza na JAMHURI hivi karibuni, Katibu wa…
Tanzania yaungana na dunia kukabili corona
Tanzania imechukua hatua ya kusitisha safari za ndege za kimataifa kama sehemu ya jitihada zinazochukuliwa na nchi nyingi duniani kukabiliana na kuenea kwa kasi kwa virusi vya corona (COVID-19). Mashirika mbalimbali ya ndege ulimwenguni yamesitisha safari zao kwa lengo la…