Category: Kitaifa
Mafuta Aprili kuchelewa
Wadau wa mchakato wa kuagiza mafuta wamekubaliana kupunguza kasi ya uingizaji wa mafuta kwa mwezi Aprili kama njia ya kukabiliana na mrundikano wa bidhaa hiyo. Makubaliano hayo yanatokana na ombi la Umoja wa Kampuni za Biashara ya Mafuta (TAOMAC) kutaka…
Madhara ya corona yaanza kuonekana kwa wakulima
DAR ES SALAAM NA AZIZA NANGWA Uuzaji wa mazao ya asili nje ya nchi umepungua kwa kiasi kikubwa katika miezi ya hivi karibuni kutokana na kuibuka kwa maambukizi ya virusi vya corona, Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, amethibitisha. Akizungumza na…
Pwani kutumia ‘drones’ kupulizia mikorosho
Chama cha Ushirika mkoani Pwani kimesema kinatarajia kuboresha ukulima wa zao hilo kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya ndege zisizo na rubani (drones) kupulizia mikorosho yote dawa ya Sulphur ili kuongeza uzalishaji wa zao hilo. Akiongea na JAMHURI, Mwenyekiti wa…
Benki Kuu yaja na kanuni mpya Dawati la Malalamiko
ARUSHA NA ZULFA MFINANGA Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema imo katika mchakato mahususi wa kupanua Dawati la Malalamiko na kuongeza wigo wa kutoa huduma kwa watoa huduma wote za kifedha, tofauti na ilivyo hivi sasa ambapo linapokea malalamiko ya…
Watoa huduma za mawasiliano kushindanishwa
Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) imeamua kutoa changamoto kwa watoa huduma za mawasiliano kwa kuanzisha tuzo ambazo zitaibua watoa huduma bora. Akizungumza na wahariri wa habari wiki iliyopita, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Kilaba, amesema tuzo hizo zinatarajiwa kuwa…
Bei mazao ya chakula yapanda
Bei za jumla za mazao mengi ya chakula zilipanda kwa kiasi kikubwa mwezi Januari mwaka huu ikilinganishwa na mwezi uliotangulia kutokana na kuongezeka kwa mahitaji yake kwenye baadhi ya nchi jirani, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema. Kuongezeka kwa bei…