Category: Kitaifa
Wajumbe kamati za ardhi waaswa
Wajumbe wa kamati za Urasimishaji Ardhi Kata ya Vikindu, wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani wametakiwa kufanya kazi kwa weledi ili kupunguza migogoro ya ardhi maeneo ya vijijini. Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Fillberto Sanga,…
Aishi miaka 111 bila kuugua
Si kila kinacholiwa kina faida mwilini. Kuna vyakula vya kujaza tumbo na vingine vya kujenga mwili. Inaelezwa chakula bora ni kile kinachojenga mwili, ambacho ndani yake kunakuwa na virutubisho vya kutosha. Hili ni jambo ambalo limethibitishwa kupitia maisha ya Rachel…
Akiba ya chakula nchini yaporomoka
Shehena ya nafaka zinazohifadhiwa kwenye maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) imepungua sana miaka ya hivi karibuni na kwa karibu miaka minne mfululizo imekuwa chini ya tani 100,000, JAMHURI limebaini. Takwimu za hivi karibuni za taasisi…
Mikopo mingi yatumika kwa mahitaji binafsi
Fedha nyingi wanazokopa Watanzania kutoka vyanzo mbalimbali hutumika zaidi kukidhi mahitaji yao binafsi kuliko kuwekeza kwenye miradi ya uzalishaji na kununua rasilimali kama nyumba na ardhi, utafiti uliofanywa hivi karibuni na jarida moja la nchini Uingereza umebaini. Kwa mujibu wa…
Bashe matatani
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ameingia katika mgogoro na wanachama wa Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Chai Lupembe kutokana na hatua yake ya kuvunja bodi ya chama hicho na kuteua watu wa kusimamia uendeshaji wa shamba la chai…
UMATI yaondolewa kwenye ‘nyumba yake’
MWANZA NA MWANDISHI WETU Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI) kimeingia katika mgororo wa umiliki wa nyumba ambayo kilikuwa kinaitumia kama kliniki ya matibabu wilayani Ilemela, mkoani Mwanza. Ingawa UMATI inadai kuimiliki nyumba hiyo baada ya kuinunua kwa…