JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Mambo ya Ndani kiti cha moto

ยท Mawaziri wengi hawadumu zaidi ya miaka miwili DAR ES SALAAM NA ALEX KAZENGA Kutimuliwa kwa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, wiki iliyopita kumeifanya wizara hiyo iendelee kuwa miongoni mwa wizara ambazo zimeongozwa na idadi kubwa…

Polisi Moshi yakanusha hujuma miundombinu

Uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro umeshindwa kubaini kuwepo kwa hujuma zozote dhidi ya njia ya reli kati ya Moshi na Arusha. Polisi walilazimika kufanya uchunguzi huo baada ya Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya, kusema…

Wanaouguza wagonjwa Muhimbili kuandamana

Kundi la watu wanaouguza zaidi ya wagonjwa 1,000 wanaoishi katika banda nje ya geti la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wamepanga kuandamana kwenda kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kufuatia kitendo cha uongozi wa hospitali hiyo…

Dk. Hamisi Kigwangalla akimbilia mahakamani

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, amefungua shauri katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala akiomba amri ya mahakama kulizuia Gazeti la JAMHURI kuchapisha na kusambaza habari zinazomkashifu. Nyaraka za mahakama ambazo zimewasilishwa kwa JAMHURI zililitaka gazeti hili kufika…

Kuzimwa simu kuathiri biashara ya pesa mtandaoni

Ukiondoa mawasiliano ya kawaida, eneo jingine kubwa litakaloathirika sana kutokana na zoezi la kuzima laini za simu ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole litakapokamilika ni biashara ya pesa mtandaoni, ambayo thamani yake ilikuwa imefika zaidi ya Sh trilioni nane kwa…

Songas kuwekeza Sh bilioni 138 zaidi nchini

Kampuni ya kuchakata gesi asilia na kuzalisha umeme ya Songas inapanga kuongeza kiasi cha umeme inachozalisha nchini kwa asilimia 33 ili kuliwezesha taifa kuwa na nishati ya kutosha kwa ajili ya shughuli za kiuchumi, mkurugenzi mtendaji wake amesema. Kwa mujibu…