JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Chongolo, Shaka wakemea uzembe

SUMBAWANGA Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, ameacha maagizo mazito kwa uongozi wa Mkoa wa Rukwa baada ya kumaliza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani hapa. Miongoni mwa maagizo hayo ni kumtaka Mkuu…

Ujenzi barabara Mwandiga – Mwamgongo waanza

KIGOMA Na Mwandishi Wetu Serikali imeanza ujenzi wa barabara ya Mwandiga – Chankere – Mwamgongo yenye urefu wa kilomita 65  kwa kiwango cha changarawe ili kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji kwa wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na mikoa…

UDA-RT sikio la kufa

DAR ES SALAAM Na Waandishi Wetu Kinachoendelea ndani ya taasisi zinazohusika na Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Salaam ni giza nene licha ya maagizo ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kutaka mabadiliko ya haraka ya mfumo wa…

Uchambuzi wa Bajeti Kuu kwa jicho la uwajibikaji 

DAR ES SALAAM Na Ludovick Utouh UTANGULIZI:  Juni 10, 2021, Waziri wa Fedha na Mipango Dk.  Mwigulu Nchemba, aliwasilisha makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22.  Hii ni Bajeti ya kwanza chini ya Mpango wa…

‘Madalali’ Dar wawaliza wafanyabiashara Kariakoo

*Wapora mamilioni ya fedha wakijidai madalali wa mahakama *Wafanyabiashara waomba msaada Msimbazi, wanyimwa Dar es Salaam Na Aziza Nangwa Baadhi ya wafanyabiashara wa Gerezani, Kariakoo, wamelalamika kuvamiwa na watu wanaojitambulisha kama madalali wa mahakama na kuwapora mali bila sababu za…

Furaha yatawala Soko la Chifu Kingalu 

DAR ES SALAAM Na ALEX KAZENGA Vicheko na furaha vimetawala kwa wafanyabiashara wadogo wenye vibanda (vioski) katika Soko la Chifu Kingalu lililopo Manispaa ya Morogoro, baada ya kodi yao kupunguzwa. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Martine Shigella, ametangaza hayo hivi…