Category: Kitaifa
Kisarawe wanufaika na kampeni ya afya
Jopo la madaktari kutoka mikoa ya Pwani na Dar es Salaam wakiongozwa na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Dk. Stanford Mwakatage, wamefanya kampeni maalumu ya kutoa matibabu na upasuaji kwa gharama nafuu kwa wananchi wa wilaya hiyo. Dk. Mwakatage…
Miaka minne ya machozi, jasho na damu Chadema
DAR ES SALAAM NA ALEX KAZENGA Uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliokamilika wiki iliyopita umekipatia chama hicho safu ya uongozi katika ngazi zote huku Mwenyekiti wake wa taifa, Freeman Mbowe, akiapa kuendeleza mapambano ya kisiasa…
Ripoti yafichua ufisadi wa kutisha jumuiya ya watumia maji
MOSHI NA CHARLES NDAGULLA Ripoti ya ukaguzi maalumu uliofanywa na wakaguzi wanane kutoka Ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro kwenye Jumuiya ya Watumiaji Maji ya Kirua Kahe (KKGWST), imefichua mambo ya ajabu, ukiwamo ufisadi na mkandarasi kulipwa…
Mwendokasi wakiri kuzidiwa
DAR ES SALAAM NA AZIZA NANGWA Kampuni inayoendesha mradi wa mabasi ya mwendokasi jijini Dar es Salaam, UDART, imekiri kuzidiwa wingi wa abiria kutokana na uchache wa mabasi inayoyamiliki. Kampuni hiyo imekiri kuwa msongamano wa abiria katika mabasi na abiria…
Serikali yataka sekta ya umma kushindanishwa tuzo za mwajiri bora
DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Serikali imetoa mapendekezo ya kushirikishwa kwa taasisi za umma katika mashindano ya kumtafuta mwajiri bora wa mwaka kuanzia mwakani. Tangu mwaka 2015 Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), kimekuwa kikitoa tuzo kwa mwajiri bora kila…
Serikali yanadi maeneo yenye madini
DODOMA NA GREYSON MWASE Tume ya Madini imetangaza zabuni kwa watu wanaotaka kununua maeneo 10 yenye leseni hodhi za madini yenye ukubwa wa kilometa za mraba 381.89 katika maeneo ya Ngara — Kagera, Kahama – Shinyanga, Chunya – Mbeya, Bariadi…