JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

‘Trafiki’ Dar wanatosha

Wakati Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro, akifikiri kuongeza idadi ya askari wa usalama barabarani, mamlaka ndani ya Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inao askari hao wa kutosha. Akizungumza na Gazeti la JAMHURI, Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP),…

TRAWU wafukuzana Dar

Wanachama wa matawi matano wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU) wamekutana jijini Dar es Salaam na kuunga mkono uamuzi wa Kamati Maalumu ya Dharura wa kuwasimamisha kazi viongozi wa kitaifa wa chama hicho. Hatua hii imetokana na mgogoro…

Wapandishwa kizimbani kwa kuiba bil. 1.4/-

Watu wawili wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka matatu ya kula njama na kuvamia, kuvunja makazi na kuiba fedha na vitu vyenye thamani ya Sh bilioni 1.4. John Masatu…

Bundi atua wizarani

Baada ya gazeti hili la uchunguzi, JAMHURI, kuandika kuhusu ubovu wa matrekta wanayouziwa wakulima nchini wiki iliyopita, Bunge kupitia Kamati ya Viwanda na Biashara limeingilia kati kunusuru nchi kuingia katika madeni yasiyo na faida, hivyo kumwita Waziri wa Viwanda na…

Maji sasa ni anasa Mwanza

Maji ni anasa katika Jiji la Mwanza, hivyo ndivyo mtu anavyoweza kuelezea kulingana na ongezeko la bei ya maji katika Jiji la Mwanza. Ongezeko la bei ya maji kwa ndoo moja ya lita 20 imepanda kutoka Sh 14 hadi kufikia Sh 24.50. Yaani imeongezeka…

NMB yazidi kumwaga mamilioni sekta ya elimu

Benki ya NMB imekwisha kutoa kiasi cha zaidi ya Sh milioni 570 hadi sasa kati ya Sh bilioni 1 ilizotenga kama uwajibikaji wake kwa jamii kwa mwaka huu wa 2019. Kiasi hicho kimetumika zaidi kusaidia miradi mbalimbali ya kijamii kama…