Category: Kitaifa
Jinamizi wizi wa magari laibuka
Utata umegubika kuhusu umiliki wa gari la mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Moshi, Haika Mawala, lenye namba za usajili T 991 DMS aina ya Toyota Vangurd, baada ya taarifa mpya kuibuka zikidai gari hilo ni la wizi na…
Matokeo ya kidato cha SITA mwaka 2019
Yatazame kwa urahisi matokeo ya kidato cha SITA mwaka 2019 hapa>>> https://matokeo.necta.go.tz/acsee/acsee.htm
Waliomdanganya JPM kibao chageuka rasmi
Miezi miwili tangu aliyestahili tuzo ya mfanyakazi bora wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), James Kunena, kupokwa fursa hiyo saa chache kabla ya kutunukiwa na Rais Dk. John Magufuli katika kilele cha mwaka huu cha Mei Mosi, hali si shwari…
Vigogo KCBL watelekeza mali za mabilioni
Wafanyakazi wawili miongoni mwa watano waliofukuzwa kazi na Bodi ya Uongozi ya Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL) wametoweka na kutelekeza mali za mabilioni ya fedha. Mali hizo ni pamoja na nyumba za kifahari, magari pamoja na viwanja. Ni mali ambazo…
‘Wenye ualbino wako salama nchini’
Tanzania imetajwa kufanya vizuri katika kukomesha mauaji dhidi ya watu wenye ualbino. Mwaka 2006 Tanzania iliingia kwenye historia mbaya baada ya watu hao kuanza kuuawa kwa imani za kishirikina. Takwimu zilizotolewa Septemba 21, 2014 na Chama cha Watu wenye Ualbino…
Serikali, kampuni za simu kusaidia watoto, wanawake
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na kampuni za simu ili kuwasaidia wananchi katika huduma mbalimbali za kijamii zikiwamo za afya, elimu na miundombinu. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Vodacom Tanzania Foundation hivi karibuni, Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za…