Category: Kitaifa
Chuo cha Mandela hekaheka
Ujanja ujanja kwenye mfumo wa mishahara ya watumishi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) ya jijini Arusha, unatajwa kuwa chanzo cha Serikali kupoteza fedha nyingi. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa mfumo wa ‘Lawson’ unaotumika kuandaa…
Dalali, TBA mikononi mwa Waziri Mkuu
Waliouza nyumba ya Serikali namba 162, kiwanja namba 1103 iliyoko Kitalu ‘S’ eneo la Mafiati jijini Mbeya kwa gharama ya Sh milioni 250 kwa mfanyabiashara maarufu wa Dar es Salaam, Saul Henry Amon, wamelalamikiwa kwa Waziri Mkuu. Nyumba hiyo ambayo…
Polisi Oysterbay ilivyouzwa
Mkataba wa utwaaji wa eneo la Kituo cha Polisi Oysterbay, Dar es Salaam uliofanywa na kampuni ya Mara Capital kutoka nchini Uganda, unatajwa kuwa miongoni mwa mikataba hatari iliyotekelezwa wakati wa uongozi wa Awamu ya Nne. Mwishoni mwa wiki iliyopita…
ATCL inavyotafunwa
Wiki iliyopita, Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, aliwasilisha bungeni Ripoti ya Mwaka ya CAG ya mwaka ulioishia Juni 30, 2015. Kama ilivyo ada, ripoti hiyo imesheheni mambo mengi. JAMHURI inawaletea wasomaji baadhi ya…
Chuo cha Mandela ni ‘shamba la bibi’
Ufisadi wa kutisha na matumizi mabaya ya madaraka vimebainika kuwapo katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) ya jijini Arusha, JAMHURI inawathibitishia wasomaji. Pamoja na kununuliwa kwa vifaa vya mabilioni ya shilingi ambavyo, ama havitumiki, au vipo…
Waliotafuna mabilioni Moshi wapagawa
Wanachama zaidi ya 300 wa Wazalendo Saccos wanakusudia kuwafikisha mahakamani viongozi wa chama hicho, uongozi wa chuo na taasisi za fedha zilizotoa mikopo kwa tuhuma za ufisadi wa zaidi ya Sh bilioni 6. Wakizungumza na JAMHURI, mwishoni mwa wiki iliyopita,…