Category: Kitaifa
Uwaziri Mkuu moto
Dk. John Magufuli akitarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano wiki hii, mjadala wa nani atakuwa Waziri Mkuu na nani atakuwa Spika wa Bunge la Jamhuri, umeshika kasi. Kwa mujibu wa Katiba, mara baada ya kuapishwa Dk. Magufuli atatakiwa…
Polisi wahaha kumlinda Diwani Sandali
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Temeke, Dar es Salaam, wamekuwa na kibarua kigumu baada ya kuendelea kulinda nyumba ya diwani mteule wa CCM Kata ya Sandali, Abel Tarimo. Tarimo anaelezwa kuwa hapendwi na wananchi, kitendo kinachowafanya watake kuvamia…
Mke wa Lowassa kutua bungeni
Jina la Regina Lowassa – Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa limo kwenye orodha ndefu ya makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) watakaoteuliwa kuwa wabunge wa Viti Maalumu kwa mujibu wa Katiba ya nchi ya mwaka 1977….
Vigogo chali
Wakati mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, akiongoza kwa kura nyingi za urais dhidi ya mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, vigogo maarufu wenye majina makubwa, wamebwagwa kwenye kinyang’anyiro cha ubunge. Dk….
Kingunge atoa siri za Nyerere
Wakati Tanzania na dunia nzima inaadhimisha miaka 16 bila ya kuwa mwasisi wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru, ametoa siri za hisia za siasa za Baba wa Taifa. Kingunge, ambaye amehudumu nchini kuanzia chama TANU…