JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Walimu, wanafunzi wataja sababu matokeo mabovu

Kama ilivyoripotiwa katika toleo lililopita kwamba umbali mrefu kati ya shule za sekondari za kata na makazi ya wanafunzi, unachangia kwa kiasi kikubwa ‘anguko’ la wanafunzi katika matokeo ya mwisho ya wahitimu wa kidato cha nne kila mwaka. Uchunguzi uliofanywa…

Mahakama ya Kadhi yamgeuka Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameliweka njiapanda Bunge la Jamhuri ya Muungano, baada ya kuwalazimisha wabunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitisha muswada wa Mahakama ya Kadhi. Mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Msekwa Machi 21, mwaka huu. Katika mkutano huo…

RCO K’njaro adaiwa kuwalinda wauaji

Familia ya marehemu James Massawe, aliyeuawa kikatili Juni 9, 2009 katika Kijiji cha Kindi Kibosho, Wilaya ya Moshi Vijijini baada ya kutekwa, imemwandikia barua Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) ikihoji kutokamatwa kwa wafanyabiashara watatu ndugu ambao walihusika na utesaji huo….

Mnyukano urais wapamba moto

Wakati ikiwa imebaki takribani miezi mitatu tu kabla ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumpata mgombea wake kwa nafasi ya urais, mnyukano baina ya makada hao umezidi kupamba moto, JAMHURI imebaini. Uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu ambao tayari makada…

Sababu za kufeli hizi hapa

  Umbali mrefu kati ya shule za sekondari za kata na makazi ya wanafunzi unachangia kwa kiasi kikubwa ‘anguko’ la wanafunzi katika matokeo ya mwisho ya wahitimu wa kidato cha nne kila mwaka.  Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili kwa muda…

Je, Kinana atamweza Lazaro Nyalandu?

  Mwandishi mmoja mkongwe aliwahi kuandika kuwa ukimwona mbuzi juu ya mti jua kapandishwa. Lakini pia ukimwona mbwa koko anabweka jua yuko nyumbani kwao.   Si mara moja kusikia na kusoma vituko vya Waziri Lazaro Nyalandu. Madudu yake yamewekwa hadharani…