Category: Kitaifa
Nchimbi awanadi wagombea Jimbo la Tarime
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi leo Jumapili Agosti 31 ,2025 ameendelea na kampeni zake kwa kufanya mkutano mkubwa katika mji wa Nyamongo, jimbo la Tarime vijijini mkoani Mara. Balozi…
Mbeto :Hakuna cha kuzuia ushindi wa CCM Zanzibar 2025-2030
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi kimesema kitashinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba Mwaka huu kwa mujibu wa sheria na taratibu za kidemokrasia kwani hakuna sababu ya CCM kushindwa Visiwani Zanzibar . Katibu wa Kamati Maalum ya Nec Zanzibar, Idara…
Mgombea kiti cha urais Za’bar achukua fomu
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi (kulia) amemkabidhi fomu ya uteuzi mgombea wa kiti cha urais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman leo Agosti 31, 2025. Othman anayegombea kupitia Chama cha Act-Wazalendo, amekabidhiwa fomu katika…
CHAUMMA, CUF kuzindua kampeni za urais leo
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinatarajia kuzindua kampeni za mgombea wake wa urais, Salum Mwalimu, pamoja na mgombea mwenza wake Devotha Minja, jijini Dar es Salaam leo. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa Umma wa CHAUMMA,…