Category: Kitaifa
Mbowe afichua njama za CCM
*Asema Sh bil. 29 ni za kuibakiza madarakani
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema Sh bilioni 29 zilizotengwa na Serikali kwa ajili ya Presidential Delivery Unit (Kitengo cha Kufuatilia Ufanisi wa Miradi), zitatumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhakikisha kinabaki madarakani.
Mawaziri wagongana
*Dili ya uwekezaji yawafanya washitakiane kwa Waziri Mkuu
*Wajipanga kumkabili Kagasheki, naibu achekea kwenye shavu
Mawaziri wawili na wabunge kadhaa wameungana dhidi ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki, kukoleza mgogoro ulioibuka Loliondo.
FCC yateketeza vipuri bandia
Tume ya Ushindani na Haki (FCC) nchini imeteketeza vipuri bandia vya magari, na kuwaonya wafanyabiashara kujiepusha kununua na kuuza bidhaa zilizoghushiwa.
Bagamoyo wamegewa neema nyingine
*Vijiji 20 kugawiwa fedha, chakula, elimu
Wakati bado mjadala wa upendeleo wa wilaya yake ukiendelea kumwandamana Rais Jakaya Kikwete, mradi mwingine wa mabilioni ya shilingi umepelekwa katika vijiji 20 vya Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.
Bila kudhibiti NGOs Loliondo haitatulia
Kwa mara nyingine, Loliondo imetawala kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi. Sina desturi ya kuitetea Serikali, lakini hiyo haina maana kwamba inapoamua kufanya jambo la manufaa kwa vizazi vya sasa na vijavyo, nishindwe kuitetea.
BAADA YA KUANIKA MADUDU…
Ofisi ya CAG sasa yasambaratishwa
*Naibu CAG aondolewa, Utouh atakiwa ajiandae kung’atuka
Hasira za watendaji kadhaa wa Serikali Kuu, Serikali za Mitaa, Mashirika ya Umma na taasisi mbalimbali dhidi ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, zimeanza kuzaa matunda baada ya kuwapo mpango wa kuwang’oa viongozi wake wakuu.
- Rais Dk Mwinyi aongoza wananchi katika mazishi ya marehemu Charles Hilary Zanzibar
- Rais Dk Mwinyi amkabidhi Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Ripoti ya CAG
- Rais Samia akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na ujumbe wa Finland
- Tanzania, Jamhuri ya Czech zasaini mkataba wa kuondoa utozaji kodi ya mapato mara mbili na kuzuia ukwepaji wa kodi
- TAMISA kufanya kongamano Mei 16, mwaka huu
Habari mpya
- Rais Dk Mwinyi aongoza wananchi katika mazishi ya marehemu Charles Hilary Zanzibar
- Rais Dk Mwinyi amkabidhi Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Ripoti ya CAG
- Rais Samia akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na ujumbe wa Finland
- Tanzania, Jamhuri ya Czech zasaini mkataba wa kuondoa utozaji kodi ya mapato mara mbili na kuzuia ukwepaji wa kodi
- TAMISA kufanya kongamano Mei 16, mwaka huu
- HESLB ilivyoguswa na Bajeti ya Wizara ya Elimu 2025/2026
- Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Finland
- Rais Samia na Rais wa Jamhuri ya Finland wakishiriki kuimba wimbo wa Taifa wa Tanzania na ule wa Finland
- Rais wa Jamhuri ya Finland akikagua Gwaride la heshima
- Rais Dk Samia ampokea Rais wa Jamhuri ya Finland Alexander Stubb Ikulu Jijini Dar es Salaam
- Tanzania, Morocco kuongeza ushirikiano sekta ya nishati
- Serikali inaendelea kutekeleza miradi ya umeme kwenye maeneo ya kimkakati – Kapinga
- Fedha za CSR za Barrick Bulyanhulu kuendelea kufanikisha miradi ya jamii Nyang’hwale
- Upanuzi kituo cha kupoza umeme Mbagala mbioni kukamilika
- Zaidi ya bilioni 17/- kusambaza umeme vitongojini Singida