Category: Kitaifa
Kashfa uporaji ardhi kubwa…
Pinda ahusishwa
*Mmoja wa washirika ajitoa kuepuka aibu
*Ni Chuo Kikuu cha Iowa cha Marekani
*Yabainika wanaleta teknolojia hatari nchini
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameendelea kubanwa kuhusu uamuzi wake wa kuwasaidia Wamarekani kujitwalia ekari laki nane za ardhi kwa miaka 99 mkoani Katavi.
Anayetuhumiwa kumteka Dk. Ulimboka azungumza
*Ni Kamanda Msangi anyeongoza Tume ya kuchunza utekaji ulivyotokea
*Ujumbe wasambazwa kuwa ndiye alimpora simu ya mkononi na ‘wallet’
*Yeye asema amekatishwa tamaa, Professa Museru aeleza alichosikia

Askari anayetuhumiwa kumteka Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Nchini, Dk. Stephen Ulimboka, Kamishna wa Polisi Msaidizi (ACP), Ahmed Msangi, amehojiwa na kuzungumzia kilichotokea kuhusiana na tuhuma kwamba aliambiwa arejeshe simu ya mkononi na pochi ya Dk. Ulimboka.
Twende tuwekeze Sudan Kusini – Jenerali Kisamba
*Saruji, ngano, vifaa vya ujenzi, alizeti vinahitajika *Asema majirani zetu wameshaanza kunufaika mno Ushauri umetolewa kwa Tanzania na Watanzania kuamka na kuchangamkia fursa za uwekezaji na biashara zilizojitokeza katika taifa jipya la Sudani Kusini. Ushauri huo umetolewa na…
Kashfa uporaji ardhi kubwa Pinda ahusishwa
*Mmoja wa washirika ajitoa kuepuka aibu
*Ni Chuo Kikuu cha Iowa cha Marekani
*Yabainika wanaleta teknolojia hatari nchini
[caption id="attachment_124" align="alignleft" width="160"]
Waziri Mkuu Mizengo Pinda[/caption]Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameendelea kubanwa kuhusu uamuzi wake wa kuwasaidia Wamarekani kujitwalia ekari laki nane za ardhi kwa miaka 99 mkoani Katavi.
Nyalandu anavyomhujumu Kagasheki
*Adaiwa kula njama wawekezaji wasilipe kodi
*Aendesha kikao bila Kagasheki kuwa na taarifa
*Bodi ya TANAPA yakataa mapendekezo yake

Mgogoro ulioripotiwa na Gazeti hili la JAMHURI wiki iliyopita kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamis Kagasheni na Naibu wake, Lazaro Nyalandu, sasa umechukua sura mpya.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Nyalandu, ameingia matatani tena baada ya kubainika kuwa anashinikiza Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) lisianze kutoza ‘concession fee’ katika hoteli za kitalii nchini, JAMHURI limebaini.
Uamuzi huo unaikosesha Serikali mapato yanayofikia Sh bilioni 17 kwa mwaka. Jaribio la kwanza la Nyalandu kufanikisha mpango wake liligonga mwamba kwenye kikao chake na menejimenti ya TANAPA, kilichofanyika Juni 8, mwaka huu mjini Moshi.
- Rostam ainunua Nation Media Group
- Maadhimisho ya Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani kufanyika Tanga Machi 26
- Kamati ya Bunge yakoshwa na ofisi ya Makamu wa Rais kwa usimamizi mzuri wa miradi
- TARURA yakamilisha ujenzi wa daraja la mawe kupitia mradi wa dharura Karatu
- Vyama vya siasa vyatakiwa kuwasilisha kwa wakati taarifa za gharama za uchaguzi
Habari mpya
- Rostam ainunua Nation Media Group
- Maadhimisho ya Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani kufanyika Tanga Machi 26
- Kamati ya Bunge yakoshwa na ofisi ya Makamu wa Rais kwa usimamizi mzuri wa miradi
- TARURA yakamilisha ujenzi wa daraja la mawe kupitia mradi wa dharura Karatu
- Vyama vya siasa vyatakiwa kuwasilisha kwa wakati taarifa za gharama za uchaguzi
- Makamu wa Rais afanya mazungumzo na Wizara tatu zinazohusiana na mazingira
- Waziri Mkuu akagua Bandari ya Kasanga Rukwa
- REA yafanya makubwa …
- REA yafadhili miradi mitano ya umeme Njombe, wananchi waipa tano
- DC Simanjiro aagiza wanaoishi mabondeni wahame
- Ulega aweka mkazo mgawanyo wa rasilimali fedha za barabara Pwani
- Dk Muyungi asisitiza ujenzi wa jengo la OMR, Mtumba Dodoma
- Tanzania yashika nafasi ya nne kwa uwekezaji sekta ya madini Afrika
- NIDA yaongeza mashine, siku za usajili Mbeya
- Migogoro ya mahusiano bado ni changamoto- CRC


