Category: Kitaifa
Hospitali ya Jeshi Lugalo kupandishwa daraja
Serikali imeaanza mipango ya kuipandisha Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Lugalo, kuwa Hospitali ya Rufaa, Bunge limeelezwa.
HOTUBA YA WAZIRI WA UJENZI
UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, baada ya Bunge lako Tukufu kupokea taarifa iliyowasilishwa leo hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha Mpango wa Maendeleo na Makadirio…
Vigogo wa bilioni 300 wakalia kuti kavu
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema vyombo vya dola vimeanza kuchunguza taarifa za kuwapo kwa zaidi ya Sh bilioni 300 zilizofichwa katika benki nchini Uswisi.
Pinda ameliambia Bunge kuwa Serikali imepata taarifa hizo kupitia vyombo vya habari, na kwamba tayari wameanza uchunguzi na baadaye watatangaza matokeo.
Kashfa uporaji ardhi kubwa…
Pinda ahusishwa
*Mmoja wa washirika ajitoa kuepuka aibu
*Ni Chuo Kikuu cha Iowa cha Marekani
*Yabainika wanaleta teknolojia hatari nchini
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameendelea kubanwa kuhusu uamuzi wake wa kuwasaidia Wamarekani kujitwalia ekari laki nane za ardhi kwa miaka 99 mkoani Katavi.
Anayetuhumiwa kumteka Dk. Ulimboka azungumza
*Ni Kamanda Msangi anyeongoza Tume ya kuchunza utekaji ulivyotokea
*Ujumbe wasambazwa kuwa ndiye alimpora simu ya mkononi na ‘wallet’
*Yeye asema amekatishwa tamaa, Professa Museru aeleza alichosikia

Askari anayetuhumiwa kumteka Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Nchini, Dk. Stephen Ulimboka, Kamishna wa Polisi Msaidizi (ACP), Ahmed Msangi, amehojiwa na kuzungumzia kilichotokea kuhusiana na tuhuma kwamba aliambiwa arejeshe simu ya mkononi na pochi ya Dk. Ulimboka.
Habari mpya
- ECSA- HC yatoa milioni 211/- kufanikisha kambi ya madaktari bingwa Tanzania
- Rais Samia aondoka nchini kuelekea Accra, Ghana
- Dk Mwigulu : Afrika igeuze mabadiliko ya dunia kuwa fursa za maendeleo
- Washindi Tuzo ya Kiswahili ya Safal kujulikana Ijumaa
- CHADEMA kabla ya kunyooshea wengine kidole…
- Kikwete aitaka Afrika kubadili ahadi za afya kuwa utekelezaji wenye bajeti
- Watendaji Manispaa ya Ubungo wapongezwa ubunifu wa ununuzi wa mitambo
- Waziri Kombo akutana na Katibu Mkuu wa OACPS, wazungumzia mageuzi na ushirikiano wa kimkakati
- Tusiwape watoto urithi wa hasira
- Lissu bado mwiba
- Masauni aagiza usimamizi imara wa mazingira kwenye viwanda Pwani
- Soma Gazeti la Jamhuri la Julai 21 -27, 2026
- Rais Dk Samia akikata utepe kuashiria uzinduzi wa meli 4 za mizigo
- Rais Samia azindua meli nne za mizigo, aweka jiwe la msingi la SGR kipande cha Tabora hadi Kigoma
- Uhispania yashinda Kombe la Dunia 2026
