Category: Kitaifa
Twende tuwekeze Sudan Kusini – Jenerali Kisamba
*Saruji, ngano, vifaa vya ujenzi, alizeti vinahitajika *Asema majirani zetu wameshaanza kunufaika mno Ushauri umetolewa kwa Tanzania na Watanzania kuamka na kuchangamkia fursa za uwekezaji na biashara zilizojitokeza katika taifa jipya la Sudani Kusini. Ushauri huo umetolewa na…
Kashfa uporaji ardhi kubwa Pinda ahusishwa
*Mmoja wa washirika ajitoa kuepuka aibu
*Ni Chuo Kikuu cha Iowa cha Marekani
*Yabainika wanaleta teknolojia hatari nchini
[caption id="attachment_124" align="alignleft" width="160"]
Waziri Mkuu Mizengo Pinda[/caption]Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameendelea kubanwa kuhusu uamuzi wake wa kuwasaidia Wamarekani kujitwalia ekari laki nane za ardhi kwa miaka 99 mkoani Katavi.
Nyalandu anavyomhujumu Kagasheki
*Adaiwa kula njama wawekezaji wasilipe kodi
*Aendesha kikao bila Kagasheki kuwa na taarifa
*Bodi ya TANAPA yakataa mapendekezo yake

Mgogoro ulioripotiwa na Gazeti hili la JAMHURI wiki iliyopita kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamis Kagasheni na Naibu wake, Lazaro Nyalandu, sasa umechukua sura mpya.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Nyalandu, ameingia matatani tena baada ya kubainika kuwa anashinikiza Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) lisianze kutoza ‘concession fee’ katika hoteli za kitalii nchini, JAMHURI limebaini.
Uamuzi huo unaikosesha Serikali mapato yanayofikia Sh bilioni 17 kwa mwaka. Jaribio la kwanza la Nyalandu kufanikisha mpango wake liligonga mwamba kwenye kikao chake na menejimenti ya TANAPA, kilichofanyika Juni 8, mwaka huu mjini Moshi.
Pinda akunjua makucha rasmi
Serikali imesema kuanzia sasa watumishi wabadhirifu wa fedha za umma hawatahamishiwa vituo vingine vya kazi, bali watachunguzwa na ikibainika watafukuzwa kazi mara moja.
Katibu Mkuu Nishati amwagiwa sifa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, amemwagiwa sifa kwa jinsi alivyowabana watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kufanikisha upatikanaji wa mita 85,000 za umeme.
Habari mpya
- NCAA yawapiga msasa Malaigwanani
- Makandarasi watakiwa kufanyia kazi maagizo wanayopewa kabla ya El Nino
- Taasisi ya OMDTZ yawezesha kata tano kuwa na mipango ya kukabili mafuriko Dar
- Prof. Shemdoe aweka jiwe la msingi ujenzi wa madarasa Lindi
- Darling yakuza mitaji ya wasusi
- Wahitimu wa vijijini wahimizwa kuomba ufadhili wa Nuru Yangu
- Dk Mwigulu : Mfumo wa ununuzi pamba ujulikane ndani ya mwezi mmoja
- Rais wa Barcelona atuma salamu za pole kwa Rais Samia
- Masauni : Watanzania epukeni gesi zinazoharibu tabaka la Ozoni
- Rais Mstaafu Dk Kikwete ahitimisha ziara Tabora, akagua miradi ya afya ya JMKF
- Tanzania, Japan kuendeleza ushirikiano katika maeneo ya kimkakati
- Bandari, TRA ni njia, siasa zetu zigeukie uchumi
- Tume ya Utumishi wa Umma yaipa kongole Wizara ya Nishati kuzingatia sheria, kanuni
- Soma Gazeti la Jamhuri Septemba 15 – 21, 2026
- Tanzania Yapiga Hatua Kubwa Katika Ujenzi wa Miundombinu ya Digital

