Category: Kitaifa
Karani wa sensa akutana na ‘mauzauza’ aona miti badala ya nyumba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Mratibu wa wa sensa katika Wilaya ya Igunga Ally Hemed amesema kwamba Karani wa Sensa wilayani Igunga mkoani Tabora, alishindwa kuifikia kaya moja iliyopo katika kijiji cha Migelele, Kata ya Lugubu wilayani humo baada ya…
Msanii Mrisho Mpoto apeperusha vema bendera ya Tanzania
Na Eleuteri Mangi,JamhuriMedia,Burundi Msanii maarufu katika kughani mashairi nchini Tanzania Mrisho Mpoto, maarufu ‘Mjomba’ amepeperusha vema bendera ya Tanzania Tamasha la Tano la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) nchini Burundi. Msanii Mjomba amekonga nyoyo za washiriki…
Waziri Mkuu asisitiza uadilifu ujenzi wa mji wa Serikali
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia awamu ya pili ya mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali wahakikishe wanazingatia uadilifu katika matumizi ya fedha ili uweze kukamilika kwa wakati na kwa viwango vilivyokusudiwa. Pia,Majaliwa amewaagiza Makatibu…
BRELA yashauriwa kusaidia wafanyabiashara mkoani Mara
Na Mwandishu Wetu,JamhuriMedia, Mara Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA), Bw. Paul Koy ameishauri Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), kusaidia wafanyabiashara wa mkoa wa Mara ili warasimishe biashara zao. Kauli hiyo ameitoa jana alipotembelea…